Update: Marehemu Clemence Mtenga aliuawa Oct 7 na hakuwa kati ya mateka waliopelekwa Gaza. Taarifa zaidi zinaendelea hapa chino

Naona hata habari hujasoma badala yake ukaanza kukipiga Vita Haaretz, kama hufahamu haaretz

Angalia reviews za Haaretz,

Wana High credibility kuandika habari za Ukweli na miaka 5 iliopita hakuna habari hata moja ambayo imekuja kugundulika ni ya Uongo.

Kama Mimi nilivyoandika hapa na wewe naomba niletee kipindi Cha Karibuni ni nini Haaretz waneripoti kikaonekana ni Cha Uongo.

Pia naomba utuambie ni silaha gani ya Hamas ambayo inaweza kuunguza miili isijulikane mwezi mzima na kuunguza magari yote parking kama sio Kazi ya Apache za Israel

Same can be said for the above na wao walitoa taarifa za Police kukanusha statements za Haaretz. Sijasema kuwa Haaretz are lying they are rather exaggerating information rather. Mimi nimeanzisha thread ya Kifo cha clemence. Wewe umekuwa offended nimewasingizia Hamas ukaamua kuleta unrelated evidence from the Nova Festival. Dude you are sad
 
Sasa ukiletewa Ushahidi hutaki, wewe unaambiwa leta Ushahidi huleti, huoni kama tatizo ni kwako?
 
Wewe uliweka Conclusion Yako kwamba ni Hamas walio muua, wakati mpaka Sasa hatujui nani kamuua, na Mimi nimeleta possibility kwamba Kuna uwezekano ni Israel ndio wamemuua, Mimi nimebase logic Yako sababu amefariki toka Tarehe 7 ila habari haijatoka hapo hapo tukaja tukajua baadae.

Watu ambao habari zao za kifo zimetoka baadae ni wale waliouliwa kwa kuchomwa na Apache na kupelekea miili yao kuungua na wasitambulike.

Kama una Ushahidi lete hapa kama unavyoclaim la sivyo utakua ni wale wale waeneza propaganda.
You see. I was right. Ulichukizwa na swala la mimi kusema ni wao(Hamas). Watu walioamua kuvaa gopro cameras ili wapige picha za matukio waliyokuwa wanafanya unataka mimi nifikiri tofauti na hivyo. We are both doing propaganda hapa na bias zetu. Kwani mhusika alikuwa Nova Party? Watu 1200 wamekufa unadhani ni rahisi kutambua miili yote? Kuna watu walikuwa beheaded, no limbs.
 
Jeshi la Israel liliua watu wengi sana kwenye operesheni yao ya kudeal na Hamas, siku ya october 7

Hamas shida yao ilikuwa ni kuteka waisrael tu ili wawatumie kama bargaining chip ya kuachiwa wapalestina kibao walio katika jela za Israel
Ulikua na Hamas mkuu au wamekudhia.
Unamini katika holocaust?
Unaminini Sept,11?
We unamini hiyo yote ni michezo?
Unamini mashambulizi ya balozi Nairobi na DSM?
It seems umezama sana kwenye conspiracy mkuu.
 
Sasa ukiletewa Ushahidi hutaki, wewe unaambiwa leta Ushahidi huleti, huoni kama tatizo ni kwako?
We ushahidi wako ni Nova Festival na taarifa zinazosema apache zimetumika Nova. Haya lete evidence ya Kibbutzim
 
Sasa ukiletewa Ushahidi hutaki, wewe unaambiwa leta Ushahidi huleti, huoni kama tatizo ni kwako?
I countered your evidence sir. I guess hukuona. Let's do this we agree to disagree
 
Sijui nianzishe uzi wa October 7 na videos tu😐
 
You see. I was right. Ulichukizwa na swala la mimi kusema ni wao(Hamas). Watu walioamua kuvaa gopro cameras ili wapige picha za matukio waliyokuwa wanafanya unataka mimi nifikiri tofauti na hivyo. We are both doing propaganda hapa na bias zetu. Kwani mhusika alikuwa Nova Party? Watu 1200 wamekufa unadhani ni rahisi kutambua miili yote? Kuna watu walikuwa beheaded, no limbs.
Sio mimi niloleta uzi ni wewe, badala ya kuleta Ushahidi unaingia huku unatoka kule, yote haya tusingeongea kama ungeleta Ushahidi, so Far ushahidi uliopo Miili yote iliongua na kutotambulika ni Kazi ya Polisi wa Israel ambao wenyewe wamekiri, kama una Ushahidi otherwise uweke hapa Simple and clear.

Na Miili 1200 kama ni Vigobole na visilaha vya Hamas haihitaji zaidi ya mwezi kutambua.
 
I countered your evidence sir. I guess hukuona. Let's do this we agree to disagree
With what tofauti na Maneno ya Taarab? Nimekuekea Evidence isio na shaka toka most Trusted newspaper ya Israel ambayo ni premium haihitaji hata sh 10 yako ya traffic, inaendeshwa purely kwa monthly subscription, wakiandika tu upuuzi watu hawa subscribe. So far hujaeka chombo chochote kikubwa kudisprove.
 
Soma kuhusu "Hannibal Directive":

Nimesoma, nimeona nikama kujitoa muhanga hivi au kua excuted kwajili ya maslahi yakijeshi.

Sina tatizo na ilo, kama ndo hua utaratibu wao ni sawa, ni sawa na utaratibu wa jihad kwenye uislamu, inapobidi kufaywa jihad then inabidi ifanyike as long as adui kaingia kwenye himaya yako.

Napata ukakasi na kuumia kwanini operation za kijeshi afu Hamasi wakaattack raiya wa kawaida!! kua hamasi/israel millitary means umesighn hati ya kifo samthing which is right but kushirikisha raiya kwa makusudi hiyo sio sawa asee.

Saivi nimeamza kupata majibu kwanini Hamasi wanadhaurika na kuitwa mgambo moja sa sababu they are not professiona, milele nitamkubali marehemu Hamza alie fia ubalozini kuliko Hamasi, labda nipate ukweli tofaut wa aya nayo yaona.
 
Kumbe huyo huyo kijana aliuwawa na shambulizi la Hamas walilofanya Israel.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Inawezekana bcoz baada ya missing Wazazi waliombwa DNA, baada ya kupata wakasema Clemence alikufa hakutekwa. Nilisikia YouTube. Inasikitisha Sana Hamas walishindwa kutambua Israel na Black man Mgeni.
 
Miwili yote ilioharibika imeuliwa na Apache acheni Kusambaza Uongo na muogopeni Mungu, Hamas Hawana Silaha ya Kuunguza Magari na Miili vile.

Baba Mwajuma are you serious ndugu yangu? Wewe unajua kuliko Ghazi Hamad, mmojawapo wa viongozi alipohojiwa alisema wakipata tena nafasi watarudia tena shambulizi kama hilo, au wewe unajua kuliko Hassan Nasralla kiongozi wa Hezbollah, ambaye pia alisema Kitendo walichofanya Hamas October 7 kilikuwa ni cha kishujaa....( Heroic)

Hukatwazi kuwa na mapenzi na Hamas......but facts ni facts mkuu...

Ghazi Hamad

Hamas official says group aims to repeat Oct. 7 onslaught many times to destroy Israel​

Ghazi Hamad, of terror group’s politburo, hails assault in which civilians were systematically murdered, saying ‘there will be a second, a third, a fourth’;​

A senior member of Hamas has hailed the systematic slaughter of civilians in Israel on October 7, vowing in an interview that if given the chance, the Palestinian terror group will repeat similar assaults many times in the future until Israel is exterminated.

Hassan Nasralla:

November 3, 2023
On November 3, 2023, the Secretary General of Lebanese Hizbullah, Hassan Nasrallah, delivered his first speech since the October 7 Hamas assault against Israel.[1]
Nasrallah extended his support to Hamas's attack, codenamed "Al-Aqsa Flood," asserting that Hamas has proved it is the legitimate representative of the Palestinian people. He denied any involvement by Iran or its proxies in planning or implementing the Hamas attack.
He further praised the Iran-backed Axis Of Resistance, namely, the Yemen-based Ansar Allah (known as Houthis) and the Iraqi militias for launching attacks in support of Hamas, suggesting that they are part of the ongoing war with Israel.
He claimed that Hizbullah’s military operations against Israel, which started on October 8, signal the organization's official participation in the war, noting that Hizballah's military response may expand depending on future developments, and regardless of the U.S., and Israeli threats.
The televised speech was promoted by Telegram channels affiliated with Iran-backed militias in the region and livestreamed on X (formerly Twitter) and YouTube.
 
Haina mahusiano yoyote na tunachoongea hapa, Hamas wamewaachia Mateka wa Thailand bure na wamesema hawahusiki na Vita so wanawaachia, Kuna Mtoto wa Ireland ambaye Israel propaganda walisema Kauliwa na Hamas pia kaachiliwa na wengineo.

Hamas Ugomvi wao ni Israel na wana Haki zote za kupambania Wanachofanya na Hata Sheria za Umoja wa Mataifa zina wasuport, sababu Israel ni Oppressor na Hamas wana Defend Nchi yao.
 
Mkuu umesema ni Apache Helicopter imefanya hayo mashambulizi....Ndio tunachozungumzia hapa?
 
Baba Mwajuma:

Miwili yote ilioharibika imeuliwa na Apache acheni Kusambaza Uongo na muogopeni Mungu, Hamas Hawana Silaha ya Kuunguza Magari na Miili vile.

Hiki ulichoandika kina husiana na nini mkuu? Labda fafanua!
 
Kinachozungumzwa hapa ni kwamba kijana wetu Kauliwa na Hamas,

Ila habari mpya mpya mitandaoni Civilians wengi waliouliwa tarehe 7 Oct ni polisi wa Israel ndio waliwaua na Sio Hamas, Habari ambazo mpaka vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha.

Na kinacho Tia wasiwasi ni kwamba hawakutambua Mwili wake kwa zaidi ya mwezi, hali ya kuwa kuna Habari Miili mingi iliunguzwa na Polisi wa Israel. Sijui kama Hamas ama Polisi wa Israel wamemuua ila so far dots nyingi ukiungabisha ni Israel.

Hamas hawana silaha za Kuunguza eneo kubwa kushinda uwanja wa mpira.
 
Back
Top Bottom