Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni.



πŸ“’ Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji wake.

kupitia mfumo wa Username, utaweza kutengeneza jina la kipekee (mfano: @BongoTech255) ambalo watu wataweza kulitumia kukupata na kuanzisha mazungumzo na Wewe bila kuhitaji namba yako ya simu Tena.



❌ username hazitaweza kufanana na mtu mwingine.
βœ… Itaanza na Alama ya (@)
πŸ”» Pia unaweza kubadili kila ukihitaji ni Bure.



Je, Username yako ya kwanza ungependa iwe ipi? Ebu tuambie ushaanza kutumia aiseeh πŸ˜„ Andika kwenye comments! πŸ‘‡

Usisahau kufollow kwa habari zote mpya za teknolojia. πŸš€.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…