Update:- Msimu wa korosho na minada ya korosho 2024/25

Mavuno yanategemewa kuwa tani laki 4.5 Kwa msimu huu

Korosho zimekubali Sana naona fursa sehemu kama usafirishaji .
 
Shukrani kwa updates

Naona bei baadhi ya maeneo inazidi kuporomoka kwa kasi

Kwa muwekezaji 'kangomba' hapa ndo unatafuta faida ya tsh 500 kwa kilo ikizidi sana labda tsh 1000
 
Kikubwa faida kulko hasara
 
Shukrani kwa updates

Naona bei baadhi ya maeneo inazidi kuporomoka kwa kasi

Kwa muwekezaji 'kangomba' hapa ndo unatafuta faida ya tsh 500 kwa kilo ikizidi sana labda tsh 1000
maeneo niliyokuwepo kangomba ni 2500, vipi huko maeneo uliopo kangomba bei gani mkuu??1
 
Update
 
Attachments

  • IMG-20241108-WA0013.jpg
    IMG-20241108-WA0013.jpg
    83.6 KB · Views: 8
  • Thanks
Reactions: ywf
Shukrani kwa updates

Naona bei baadhi ya maeneo inazidi kuporomoka kwa kasi

Kwa muwekezaji 'kangomba' hapa ndo unatafuta faida ya tsh 500 kwa kilo ikizidi sana labda tsh 1000
Mkuuu faida ni 1000 kwasasa kitu ambacho hakijawahi kutokea aisee kwa misimu hii ya miaka 7 iliyopita
 
ila hata huku nilipo sahivi (nachingwea) kuna mahali bado unaweza kupata hata kwa 2k, au 2200....2400 ila ni kwa wakulima wachache sana.
Mkuu huko nachingwea wewe ni mwenyeji?
 
ila hata huku nilipo sahivi (nachingwea) kuna mahali bado unaweza kupata hata kwa 2k, au 2200....2400 ila ni kwa wakulima wachache sana.
Tunaongelea za minada , kuhusu kangomba utachanganya watu
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Tozo kwa mkulima kwani ni shingapi kwa kilo? Yaani vyama vya Ushirika kabla ya kuwalipa watu pesa halisi ilivyouzwa mnadani...
 
Back
Top Bottom