DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mavuno yanategemewa kuwa tani laki 4.5 Kwa msimu huu
Korosho zimekubali Sana naona fursa sehemu kama usafirishaji .
Korosho zimekubali Sana naona fursa sehemu kama usafirishaji .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Update
angalau inatupa moyoUpdate
maeneo niliyokuwepo kangomba ni 2500, vipi huko maeneo uliopo kangomba bei gani mkuu??1Shukrani kwa updates
Naona bei baadhi ya maeneo inazidi kuporomoka kwa kasi
Kwa muwekezaji 'kangomba' hapa ndo unatafuta faida ya tsh 500 kwa kilo ikizidi sana labda tsh 1000
Mkuuu faida ni 1000 kwasasa kitu ambacho hakijawahi kutokea aisee kwa misimu hii ya miaka 7 iliyopitaShukrani kwa updates
Naona bei baadhi ya maeneo inazidi kuporomoka kwa kasi
Kwa muwekezaji 'kangomba' hapa ndo unatafuta faida ya tsh 500 kwa kilo ikizidi sana labda tsh 1000
Huku ni 2200maeneo niliyokuwepo kangomba ni 2500, vipi huko maeneo uliopo kangomba bei gani mkuu??1
duh, mtwara au nachingwea??Huku ni 2200
ila hata huku nilipo sahivi (nachingwea) kuna mahali bado unaweza kupata hata kwa 2k, au 2200....2400 ila ni kwa wakulima wachache sana.Huku ni 2200
Newala mkuuduh, mtwara au nachingwea??
Mkuu huko nachingwea wewe ni mwenyeji?ila hata huku nilipo sahivi (nachingwea) kuna mahali bado unaweza kupata hata kwa 2k, au 2200....2400 ila ni kwa wakulima wachache sana.
hapana mkuu, mimi nimevamia tu kwaajili ya ishu basi.Mkuu huko nachingwea wewe ni mwenyeji?
NewalaWapi huko ,__ kibaha?
Hachanganyi watu kwasababu inayozungumzwa hapo ni kangomba ambayo kwa level zetu ndilo kimbilio letu la kupiga pesaTunaongelea za minada , kuhusu kangomba utachanganya watu