Nataka niwaambie kitu, itakuwa bahati mbaya sana kwangu, sijawahi kuona mwanaume amdhuru binadamu mwenzie kupita kiasi ukiachana na majambazi, kinachoniuma wanawake wanawanyanyasa sana watoto wa wenzao ukianzia house girl, binamu...am sory please ladies badilikeni, juzi nimeona mtu amechomwa maji ya moto na mkewe, mwezi uliopita jamaa alichomwa uso kwa uji, jamani tunajua mna hasira lakini hizi zenu me kama hutaki kumsaidia mtu nakushauri umpeleke ktk uongozi wa mtaa/kijiji basi lakini siyo kutesana.