UPDATE: Mtoto aliyechomwa moto na kulazimishwa kula kinyesi chake akatwa mkono

UPDATE: Mtoto aliyechomwa moto na kulazimishwa kula kinyesi chake akatwa mkono

Nataka niwaambie kitu, itakuwa bahati mbaya sana kwangu, sijawahi kuona mwanaume amdhuru binadamu mwenzie kupita kiasi ukiachana na majambazi, kinachoniuma wanawake wanawanyanyasa sana watoto wa wenzao ukianzia house girl, binamu...am sory please ladies badilikeni, juzi nimeona mtu amechomwa maji ya moto na mkewe, mwezi uliopita jamaa alichomwa uso kwa uji, jamani tunajua mna hasira lakini hizi zenu me kama hutaki kumsaidia mtu nakushauri umpeleke ktk uongozi wa mtaa/kijiji basi lakini siyo kutesana.
 
no words can explain the brutality her aunt (mama mdogo) did...pole Aneth
 
Huyo mwanamke aliyefanya hii dhulma kwa malaika kama huyu ana akili timamu kweli?
 
Huu ni unyama, Huyo mama mdogo adhabu isiwe ndogo! na aripotiwe kwa taasisi ya haki za binadamu kwa hatua zaidi
 
Jamani....yaani kila nisomapo habari ya huyu mtoto...roho inaniuma utafikiri ndio naisoma kwa mara ya kwanza. Mungu akupe nguvu mtoto mzuri na akubariki uweze kusonga mbele na kufanikiwa katika maisha yako. As for the Wicked Witch, na alaaniwe maisha yake yote! :mad2:
 
pole sana mtoto,Mungu akusaidie uwe na furaha katika maisha yako kama binadamu wengine...japo unavyozidi kukua ndivyo hasira zinavyozidi kukua juu mama mdogo ila msamehe bure...soma kwa bidii ili baadae uwe mtetezi wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu..:amen:!!!!!!
 
Duh! Kweli dunia imekwisha yaani wanadiriki kumfanyia kitu kibaya mtoto wa miaka mitatu?
Jana tu nilikua namuonesha picha shemeji angu alilia sana na kunisihi nimjulishe maendeleo ya Annie, hapa ashindwa jinsi ya kumwambia,, jamani kwa walio na ukaribu na family ya huyu mtoto pliz watupe contact zao,, tujue jinsi ya kuweza kumfikia huyu mtoto.
WENGINE WANAKESHA MAKANISANI
WANAHANGAIKA KWA WAGANGA
NDOA ZINAVUNJIKA
"KISA MTOTO"
LEO HII MWINGINE ANACHOMA
"MTOTO"
 
hivi wanawake wenzangu mnashangaa nini hapa!??? sisi kwa sisi hatupendani kabisaaaaaaa! ni ukweli usiofichika kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! sasa haya yaliyojiri si ya kutushangaza, maana moto wetu na kuni zetu zitakuwa kali kuliko ule moto wa kuyeyusha chuma!

mara nyingi wanaume wakitukuta na watoto wa kambo, huwalea vizuri watoto wao wa kufikia bila manyanyaso, ila sisi tukikuta mtoto wa kufikia, nyumba inageuzwa jehanam kwa yule mtoto! NAOMBA JAMANI TUBADILIKE, TUEPENDANE WENYEWE KWANZA, THEN TUTAWEZA KUWAPENDA WALIO PEMBENI YETU HASA WATOTO TUNAOACHIWA KUWALEA!

Huyu mtoto namuombea kupona haraka! imeniuma sana!
 
Hii story haikamilishwi. Baba na mama wa mtoto wako wapi? Na huyo maaluni yuko wapi?
Nafikiria mama zetu wadogo wanavyotupenda na kututreat like kids! Ni muhimu kufundisha watoto kupendana ili hata wakiwa wakubwa cha mwenzio ukione chako.

au labda ni mama mdogo kwa mbali? mana mie siwezisema jinsi ninavyowapenda watoto wa dada yangu, na nikiona mama yangu mdogo anavyonipenda naweza sema kamzidi hata mama nyamayao, sasa huyu mama mdogo maaluni kama ulivyomuita hata sijui nimweke kwenye kundi gani, kwani wanalazimishwaga kukaa na hao watoto jamani, kwanini wasiwakae tu waonekane wabaya kuliko ku pretend na kuwapa mateso yote haya?
 
hivi wanawake wenzangu mnashangaa nini hapa!??? sisi kwa sisi hatupendani kabisaaaaaaa! ni ukweli usiofichika kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! sasa haya yaliyojiri si ya kutushangaza, maana moto wetu na kuni zetu zitakuwa kali kuliko ule moto wa kuyeyusha chuma!

mara nyingi wanaume wakitukuta na watoto wa kambo, huwalea vizuri watoto wao wa kufikia bila manyanyaso, ila sisi tukikuta mtoto wa kufikia, nyumba inageuzwa jehanam kwa yule mtoto! NAOMBA JAMANI TUBADILIKE, TUEPENDANE WENYEWE KWANZA, THEN TUTAWEZA KUWAPENDA WALIO PEMBENI YETU HASA WATOTO TUNAOACHIWA KUWALEA!

Huyu mtoto namuombea kupona haraka! imeniuma sana!

mpendwa wangu hapa tunamzungumzia mtoto jamani, hiyo ni kweli kwamba hatupendani but kwa huyu malaika wa mungu pia?
 
too sad.
Mama yake mzazi ninamlaani kwa nguvu zote kwa kumtelekeza mtoto.
Mama yake mdogo, ninamlaani kwa nguvu zote kwa ukaltili aliomfanyia mtoto.
Jamani, tuwe tunaangalia na koo za kuoa
 
mpendwa wangu hapa tunamzungumzia mtoto jamani, hiyo ni kweli kwamba hatupendani but kwa huyu malaika wa mungu pia?
utawezaje kumpenda mtoto wa mtu wakati we mwenyewe huipendi nafsi wala jinsia yako my dear Nyamayao???! inasikitisha sana kwa kweli!
 
Last edited by a moderator:
pole sana mtoto Aneth.. bado najiuliza mama huyu mdogo ni damu moja na mama mzazi wa mtoto huyu au ni mama wa kambo aliyeolewa na baba yake kwa kuwa mama hayupo? na je anao watoto wake wa kuzaa mwenyewe kwa uchungu au hana hata kizazi? kwel mtu unaweza mfanyia hivi mtoto wa mwenzako ikiwa ilhali haufahamu hatma ya watoto au hata ndugu zako utakao waacha dunian? wanadamu hatujui lakini matendo yetu yanaweza athiri vizazi vyetu vyote.. eeh Mungu naomba utulindie na kutukuzia watoto wetu na wenye vitendo hivi wewe ndio ujuae hatma yao
 
jaman mbona kila mara matukio kama haya yajirudia? uwa atujifunzi? na bahati mbaya au asilimia kubwa yanafanywa na wanawake.........nitaomba wanawake wanisamehe kwa kuwataja ila ni ukweli
 
Oh My God,jamani kwa nini kwa malaika kama huyu ,amekosea nini,Inauma sana,naoamba serikali ichukue sheria inayostahili kwa huyu mama aliyehusika na kitendo kama hiki ambacho ni cha kinyama,Naomba pia wahusika wa haki za binadamu wajitokeze pia waweze kumsimamia mtoto huyu aweze kupata haki yake kama binadamu wengine na jamii nzima kwa ujumla wale ambao wana uwezo pia wajitokeze ili waweze kumsaidia mtoto huyu kwa namna yoyoye wawezavyo.EE Mwenyezi Muungu umjalie mtoto Aneth aweze kupona.
 
utawezaje kumpenda mtoto wa mtu wakati we mwenyewe huipendi nafsi wala jinsia yako my dear Nyamayao???! inasikitisha sana kwa kweli!

yaani kweli binadamu tupo tofauti sana sana, sasa huyo ni mtoto wa dada yake, je angekuwa wa kambo si ndio angemchemsha kabisa?mijinamke kama hii inatufanyaga ma stepmother tutafsiriwe vibaya kumbe ni limtu tu na liroho yake ya ukatili, sijui litaweka wapi uso wake akitoka huko aliko, jamani na huyo mama wa mtoto ni marehemu ama?
 
Nataka niwaambie kitu, itakuwa bahati mbaya sana kwangu, sijawahi kuona mwanaume amdhuru binadamu mwenzie kupita kiasi ukiachana na majambazi, kinachoniuma wanawake wanawanyanyasa sana watoto wa wenzao ukianzia house girl, binamu...am sory please ladies badilikeni, juzi nimeona mtu amechomwa maji ya moto na mkewe, mwezi uliopita jamaa alichomwa uso kwa uji, jamani tunajua mna hasira lakini hizi zenu me kama hutaki kumsaidia mtu nakushauri umpeleke ktk uongozi wa mtaa/kijiji basi lakini siyo kutesana.

angalia hizi post 2
1. https://www.jamiiforums.com/habari-...ji-baba-ampiga-mwanae-na-kumuua-kinyama.html]
2.https://www.jamiiforums.com/mahusia...kwe-wake.html?highlight=amchoma+mkewe+na+pasi

naona akili yako inafikiri with limits kama kweli unaamin there is circumnavigation of the earht huwezi waza mpaka hapo nakufikia conclusion watu wamekuwa wanyama na makatili kwa kweli sio wanawake sio wanaume.
 
Nataka niwaambie kitu, itakuwa bahati mbaya sana kwangu....................

sikiliza wewe nivea, me nimesemaje hapo katika red? unapenda sana ligi@nivea,

@naona akili yako inafikiri with limits"""""""" sijaipenda hii kauli yako, naomba nisiseme neno nitaharibu siku yako.
 
Back
Top Bottom