Hii story haikamilishwi. Baba na mama wa mtoto wako wapi? Na huyo maaluni yuko wapi?
Nafikiria mama zetu wadogo wanavyotupenda na kututreat like kids! Ni muhimu kufundisha watoto kupendana ili hata wakiwa wakubwa cha mwenzio ukione chako.
hivi wanawake wenzangu mnashangaa nini hapa!??? sisi kwa sisi hatupendani kabisaaaaaaa! ni ukweli usiofichika kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! sasa haya yaliyojiri si ya kutushangaza, maana moto wetu na kuni zetu zitakuwa kali kuliko ule moto wa kuyeyusha chuma!
mara nyingi wanaume wakitukuta na watoto wa kambo, huwalea vizuri watoto wao wa kufikia bila manyanyaso, ila sisi tukikuta mtoto wa kufikia, nyumba inageuzwa jehanam kwa yule mtoto! NAOMBA JAMANI TUBADILIKE, TUEPENDANE WENYEWE KWANZA, THEN TUTAWEZA KUWAPENDA WALIO PEMBENI YETU HASA WATOTO TUNAOACHIWA KUWALEA!
Huyu mtoto namuombea kupona haraka! imeniuma sana!
utawezaje kumpenda mtoto wa mtu wakati we mwenyewe huipendi nafsi wala jinsia yako my dear Nyamayao???! inasikitisha sana kwa kweli!mpendwa wangu hapa tunamzungumzia mtoto jamani, hiyo ni kweli kwamba hatupendani but kwa huyu malaika wa mungu pia?
Inasikitisha sana. Ingekua Somalia na yeye angechomwa mpaka T*go!
utawezaje kumpenda mtoto wa mtu wakati we mwenyewe huipendi nafsi wala jinsia yako my dear Nyamayao???! inasikitisha sana kwa kweli!
Nataka niwaambie kitu, itakuwa bahati mbaya sana kwangu, sijawahi kuona mwanaume amdhuru binadamu mwenzie kupita kiasi ukiachana na majambazi, kinachoniuma wanawake wanawanyanyasa sana watoto wa wenzao ukianzia house girl, binamu...am sory please ladies badilikeni, juzi nimeona mtu amechomwa maji ya moto na mkewe, mwezi uliopita jamaa alichomwa uso kwa uji, jamani tunajua mna hasira lakini hizi zenu me kama hutaki kumsaidia mtu nakushauri umpeleke ktk uongozi wa mtaa/kijiji basi lakini siyo kutesana.
Nataka niwaambie kitu, itakuwa bahati mbaya sana kwangu....................angalia hizi post 2
1. https://www.jamiiforums.com/habari-...ji-baba-ampiga-mwanae-na-kumuua-kinyama.html]
2.https://www.jamiiforums.com/mahusia...kwe-wake.html?highlight=amchoma+mkewe+na+pasi
naona akili yako inafikiri with limits kama kweli unaamin there is circumnavigation of the earht huwezi waza mpaka hapo nakufikia conclusion watu wamekuwa wanyama na makatili kwa kweli sio wanawake sio wanaume.