mmmh! jamani pole sana sana mtoto Aneth, Eeee Mungu wangu, huyu mtoto anaiuma sana manake she is me uwiiiiiiiii, yaani kaja uukosa mkono kwa uchomwa moto??? sijui adhabu anayostahili huyo mama kiukweli. i can't think of an appropriate punishment for the woman. hata kumfunga jiwe shingoni na kumtupa baharini haitoshi
kwahuyu mtoto kwann madaktari wamekimbilia kumkata mkono?? it was possible kwa huu mkono kutengemaa endapo wangechukua uamuzi wa kumpeleka MOI naamin hayo manake nilishawah kushuhudia mtu alokuwa akatwe mguu Dodoma, akaomba aletwe MOI akapona kabisa.... kuondo akiungo cha mgonjwa jamani ni hatua ya juu sana, istoshe nyama za mwili huwa zinaota anyway inawezekana tu nimeongea kama layman bila basic principles mnisamehe.not a layman ticha. the doctors were retarded, wanafaa kunyang'anywa leseni. inawezekana kupona hata 3rd degree burns, hawajui hata skin grafting?! any medical student knows about this. kama wounds zilipata infection zinatibika, they were just lazy na hawakujali future ya mtoto. all in all its a very sad story, only God can ameliorate this tragedy.