Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

Muuguzi mjinga sana huyo. Wacha avune sasa alichopanda.

Halafu ifikie wakati wanaume wasihusike kwa namna yoyote kwenye kuwahudumia wanawake wajawazito. Na hii ni kuanzia madaktari, vile vitoto vya field, na pia hawa wauguzi wa kiume.
Wazingatie maadili yao ya utumishi, lakini ikipigwa kura kati ya wakunga wanaume na wanawake wajawazito watachagua wanaume mara mia kuliko wanawake,, wanaume wana huruma utu na heshima kuliko, huyu mbovu mmoja asifanye waonekane wote hawafai
 
Tabora mbona Kuna watumishi wa afya wapuuzi kiasi hiki? Sakata la manesi kuchanachana mapacha na kunyofoa viungo, sakata la mabishano kati ya nesi na mtu wa maabara kuhusu vifaavya malaria vilivyoisha muda, Leo tena muuguzi Kabaka mgonjwa tena mjamzito.
Kuna shida gani huko?
Igunga kuna muuguzi aliwahi kubaka mgonjwa kwa kumchoma sindano ya Usingizi,nadhani mwaka juzi
 
Kwanini na yeye hajabakwa? Inabidi tubadiri hizi sheria mtu akibaka na yeye abakwe
Mbakaji uwe wewe ni vyema pia ujitambulishe ili tatizo kama hili likitokea tusipate tabu ya kutafuta mbakaji aliyejiidhinisha
 
Sasa atakae mbaka mbakaji naye si atabakwa pia, na huyo mbakaji wa mbakaji wa kwanza nae vilevile atabakwa... yaani chain haitakwisha
Kuna Mbakaji wa wabakaji ambae anateuliwa na Mkuu wa Magereza huyu anapewa Ithibati ya kufanya shughuli ya ubakaji.

Kwani ktk sheria ya Kunyonga mpaka kufa yule anayenyonga nae anapewa kesi ya kuua?
 
Kala tamu ya baba K.daa jamaa hovyo sana !! Hebu mjamzito na mtoto wapimwe km kuna maambukizi yoyote.Mana huko bar alikotoka nako ukute huwa anachukua UTI sugu.
 
Back
Top Bottom