binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hapo sawa!Ikiwa uchunguzi utafanyika na imeonesha mtendaji kosa kafanya makusudi akiwa na akili timamu, basi atabakwa hadi kufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa!Ikiwa uchunguzi utafanyika na imeonesha mtendaji kosa kafanya makusudi akiwa na akili timamu, basi atabakwa hadi kufa.
Dah pole yake mwamba alikua anafanya kazi UMATI Morogoro aliachishwa kazi kisa huo huo ulevi jaman pombe wengine hazitupend mi nilishaacha
Rayson Agnelusi Duwe ambaye ni muuguzi msaidizi daraja II (ANO) katika hospitali ya Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumbaka mama mgonjwa mwenye ujauzito wa miezi tisa baada ya kumchoma sindano yenye dawa ya usingizi.
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Tabora ACP Richard Abwao amesema tukio hilo lilitokea Juni 9. 2023 majira saa mbili usiku.
Kamanda Abwao amesema muuguzi huyo ambaye aliingia kazini akiwa amelewa pombe alitenda kosa hilo wakati alipopangiwa zamu ya usiku ya kuhudumu wagonjwa wa nje (OPD) ndipo alipotoka na kwenda chumba cha wagonjwa wa ndani na kumbaka mama huyo mwenye ujauzito wa karibu kujifungua ambaye alikuwa anaendelea na matibabu ya ugojwa wa malaria.
Muuguzi huyo alikutwa akiwa na bomba la sindano pamoja na dawa za usingizi huku taarifa ya kitabibu ikidhibitisha kuwa alimwingilia mgonjwa huyo.
Mtuhumiwa huyo amefikishwa mahakani mapema hii leo June 13,2023 kujibu tuhuma zinazomkabili baada ya upelelezi kukamilika.
DahhhSito sahau alicho kifanya daktari wa saratani ya viungo
UTI ni sio sexually transimitted disease..Kala tamu ya baba K.daa jamaa hovyo sana !! Hebu mjamzito na mtoto wapimwe km kuna maambukizi yoyote.Mana huko bar alikotoka nako ukute huwa anachukua UTI sugu.
UTI ni sio sexually transimitted disease..
Labda kama alifanya anal.
Ndugu wa kiongozi huyo , mlevi anawezaje kuwa muuguzi ?
Rayson Agnelusi Duwe ambaye ni muuguzi msaidizi daraja II (ANO) katika hospitali ya Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumbaka mama mgonjwa mwenye ujauzito wa miezi tisa baada ya kumchoma sindano yenye dawa ya usingizi.
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Tabora ACP Richard Abwao amesema tukio hilo lilitokea Juni 9. 2023 majira saa mbili usiku.
Kamanda Abwao amesema muuguzi huyo ambaye aliingia kazini akiwa amelewa pombe alitenda kosa hilo wakati alipopangiwa zamu ya usiku ya kuhudumu wagonjwa wa nje (OPD) ndipo alipotoka na kwenda chumba cha wagonjwa wa ndani na kumbaka mama huyo mwenye ujauzito wa karibu kujifungua ambaye alikuwa anaendelea na matibabu ya ugojwa wa malaria.
Muuguzi huyo alikutwa akiwa na bomba la sindano pamoja na dawa za usingizi huku taarifa ya kitabibu ikidhibitisha kuwa alimwingilia mgonjwa huyo.
Mtuhumiwa huyo amefikishwa mahakani mapema hii leo June 13,2023 kujibu tuhuma zinazomkabili baada ya upelelezi kukamilika.
Huyo ndo mchezo wake kitambo itakua.

Kwa unyama wanaoufanya hao watu si vibaya tukawa na wanyama kama mbwa na nguruwe waliofunzwa kuwashughulikia kisawa sawa.Nani atakuwa anawabaka?🙄
kwamba hapo wodini alikuwa peke yake, ila sasa nimeambiwa kumbe nesi alimchoma mgonjwa sindano ya usingizi na akamfukuza wodini mtu aliyekuwa anamuuguza mgonjwaNini kinakufanya ufikirie hivyo?
Sito sahau alicho kifanya daktari wa saratani ya viungo
Kama wanawake wanaweza kufanya hiyo kazi vizuri Pasi na madhara basi haina haja Dada zetu, mama, zetu, na binti zetu kuendelea kufanyiwa yasioelezekaWazingatie maadili yao ya utumishi, lakini ikipigwa kura kati ya wakunga wanaume na wanawake wajawazito watachagua wanaume mara mia kuliko wanawake,, wanaume wana huruma utu na heshima kuliko, huyu mbovu mmoja asifanye waonekane wote hawafai
Mara milioni wakunga wa kiume,Kama wanawake wanaweza kufanya hiyo kazi vizuri Pasi na madhara basi haina haja Dada zetu, mama, zetu, na binti zetu kuendelea kufanyiwa yasioelezeka
Nimewahi kuongea na mate wangu(male) ambae ni nesi asee basi tu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wengi huwa hawajui hilo wanadhani UTI ni sexually transmitted.UTI ni sio sexually transimitted disease..
Labda kama alifanya anal.
Wanawake hawatakuelewa. Nasikia wengi wanapenda kufanyiwa ukunga na wanaume.Kama wanawake wanaweza kufanya hiyo kazi vizuri Pasi na madhara basi haina haja Dada zetu, mama, zetu, na binti zetu kuendelea kufanyiwa yasioelezeka
Nimewahi kuongea na mate wangu(male) ambae ni nesi asee basi tu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Andika uzi na zipigwe kura utajionea mwenyewe au ingia mtaani utapata maoni yao walioingia leba na hasa kwenye miji au vijijini,,Wanawake hawatakuelewa. Nasikia wengi wanapenda kufanyiwa ukunga na wanaume.
Sababu zao hazijawahi niingia akilini kabisa.
Sijui wanaona bora lililotokea kwa huyu Mama kuliko kuhudumiwa na wanawake wenzao?
ila inaonekana mgonjwa naye alitaka