Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

Dah pole yake mwamba alikua anafanya kazi UMATI Morogoro aliachishwa kazi kisa huo huo ulevi jaman pombe wengine hazitupend mi nilishaacha
 
Ndugu wa kiongozi huyo , mlevi anawezaje kuwa muuguzi ?
 
Huyo ndo mchezo wake kitambo itakua.
 
Wazingatie maadili yao ya utumishi, lakini ikipigwa kura kati ya wakunga wanaume na wanawake wajawazito watachagua wanaume mara mia kuliko wanawake,, wanaume wana huruma utu na heshima kuliko, huyu mbovu mmoja asifanye waonekane wote hawafai
Kama wanawake wanaweza kufanya hiyo kazi vizuri Pasi na madhara basi haina haja Dada zetu, mama, zetu, na binti zetu kuendelea kufanyiwa yasioelezeka


Nimewahi kuongea na mate wangu(male) ambae ni nesi asee basi tu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
K Vant inarahisisha sana mambo wazee...
 
Mara milioni wakunga wa kiume,
 
Mimi naona kujiendekeza. Pombe inakufanyaje uwe mjinga? Ukiona pombe inakufanya uwe jinga heri kuacha.

Anyway itakua mjamzito ana wowowo namba E.
 
Wanawake hawatakuelewa. Nasikia wengi wanapenda kufanyiwa ukunga na wanaume.

Sababu zao hazijawahi niingia akilini kabisa.

Sijui wanaona bora lililotokea kwa huyu Mama kuliko kuhudumiwa na wanawake wenzao?
 
Wanawake hawatakuelewa. Nasikia wengi wanapenda kufanyiwa ukunga na wanaume.

Sababu zao hazijawahi niingia akilini kabisa.

Sijui wanaona bora lililotokea kwa huyu Mama kuliko kuhudumiwa na wanawake wenzao?
Andika uzi na zipigwe kura utajionea mwenyewe au ingia mtaani utapata maoni yao walioingia leba na hasa kwenye miji au vijijini,,

Wakunga wa kike wengi wao hawana utu heshima wala huruma wanamfanya mjamzito ajione kama analipia matendo yake ya umalaya, hawafai hawafai hawafaiiiii wana roho mbaya sana manesi wa kike kwenye uzazi, unaumwa uchungu huku unatukanwa, unapigwa unakejeliwa, tofauti kabisa na wa kiume atakupa pole atakuhudumia kwa huruma na utu wa hali ya juu sana uchungu ukikaza anaweza hata kukupuliza na akisisitiza ujikaze zoezi liishe salama,

Wanasema usitukane wakunga na uzazi ungalipo ila wa kike hawafai wabadilike aisee
 
ila inaonekana mgonjwa naye alitaka

Kwanini mgonjwa hakupiga kelele kuomba msaada? Mgonjwa alifikaje pahala penye faragha? Je mgonjwa aliaga wenzie kuwa anatoka wodini anaenda wapi? Je Kuna ushaidi kuwa mgonjwa alichomwa sindano ya usingizi na Ni dawa aina gani, Je mgonjwa alikutwa akiwa amelala au alikuwa macho akiwa na fahamu zake? Huyo muuguzi inasemekana alikuwa amelewa Je alilewa kwa kiwango gani (BAC), DNA report inasemaje? Scene area inafanana na madai ya kubaka? Maswali Ni mengi na muda hautoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…