Black Beast Senior Member Joined Aug 6, 2019 Posts 127 Reaction score 487 Jun 15, 2023 #61 BabuMkubwa said: Eti atajitetea shetani alimsababisha. Click to expand... Kuna siku shetani atatupeleka mahakamani tukathibitishe uhusika wake kwenye maovi yetu we subiri.
BabuMkubwa said: Eti atajitetea shetani alimsababisha. Click to expand... Kuna siku shetani atatupeleka mahakamani tukathibitishe uhusika wake kwenye maovi yetu we subiri.
Craig JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 1,512 Reaction score 2,712 Jun 15, 2023 #62 Nashauri kabla ya lawama kwa muuguzi tungeiona picha ya mhanga akiwa wima ikionesha sehemu zake za nyuma... Tungeanza hapo kwanza...
Nashauri kabla ya lawama kwa muuguzi tungeiona picha ya mhanga akiwa wima ikionesha sehemu zake za nyuma... Tungeanza hapo kwanza...