Ryder2
Member
- Sep 11, 2021
- 81
- 88
Kutokana na maoni ya wadau mbali mbali jukwaani hapa pamoja na forum mbali mbali kama BETA BLOCKER/BISOPROLOL WITHDRAWAL FORUM, Leo nimeamua kuacha hizi dawa kwa kufanya yafutayo.
1. Kwanza ifahamike kwamba mwanzoni nilikua nameza kidonge kizima cha NEBIVOLOL chenye 5MG, na badae nikapunguza dozi nikawa nameza NEBIVOLOL 2.5MG, Hii nimefatilia kwa kusoma leaflet ya dawa hii kwa kua wameeleza jinsi ya kuacha.
2.Kwa sasa ukifika ule muda niliohotajika nimeze dawa, mimi ninachokifanya nakula punje moja ya kitunguu swaumu, ndizi moja , na parachichi robo kipande.
3.Pia nitakua naenda hospital kupima mapigo, presha na oxygen saturation(SPO2) ili kujua kama naendelea vizuri.
MABADILIKO NILIOPATA BAADA KUACHA HIZI DAWA KWA MUDA KAMA WA SAA 1 NA NUSU NI KAMA IFUATAVYO.
1. Napumua kwa shida japo sio sana.
2.Mwili unakua unatetemeka hivi na kuhisi baridi.
3. Mapigo yanadunda kwa kasi ya kawaida tu japo sometimes yanapanda then yanapungua
4.Napata wasi wasi sana.
HITIMISHO. Nafanya yote haya kwa kua dokta ameniambia niache hizi dawa kwa kusisitiza kua umri wangu bado mdogo sana(24years ) na pia ajaona shida kubwa.