UPDATE: Nimeanza kuacha matumizi ya dawa za kupunguza mapigo leo tarehe 25 saa4 kamili asubuhi

UPDATE: Nimeanza kuacha matumizi ya dawa za kupunguza mapigo leo tarehe 25 saa4 kamili asubuhi

Ahsante dada yangu nitafata ushauri wako pia nimesikia na tangawizi nayo inasidia, ila tokea nimestop hizi dawa nakua sina balance hasa nikiwa natembea pia nahisi ubongo wangu umelose concentration ila yatapita tu.
Nakushauri uingie YouTube na ujifunze kuhusu anxiety symptoms yan ni nyingi huko kukosa balance ni akili tu umeiset hivyo..i'm fighting anxiety and this battle is not easy good luck
 
Mkuu unaendeleaje?. Hakika mwenyezi mungu mwingi wa rehema atuepushe na magojwa.
 
Back
Top Bottom