UPDATE: Nimeanza kuacha matumizi ya dawa za kupunguza mapigo leo tarehe 25 saa4 kamili asubuhi

Dah sawa mkuu nitamtafuta huyo dr maana life is not fair kabisa.
 
Jaribu kutumia njia za therapy ya psychology kuliko madawa ni njia nzuri kuliko kutumia madawa....then punguza mawazo....hata mimi nasumbuliwa na Hilo tatizo but sitaki kutumia sawa...
 
Vp mkuu kwa sasa unaendeleaje
Bado sijakaa sawa mkuu,, na shida kubwa ninayoipata ni kukosa pumzii lakini nikienda kupima SPO2 nakuta 98% sometimes 100% pia kuna muda nakua nakosa balance ya mwili yani nikitembea nakua nayumba yumba tu, pia natetemeka sana sijajua ni kwa nini ila nimefatilia wanasema ni withdrawal side effect. Kuhusu mapigo ya moyo huwa yanacheza 90,100,120 mpaka 150 sometimes ila yanakaa sawa endapo nikitumia vitu kama ndizi, tangawizi , chungwa yanapungua kidogo nakua napata unafuu. kuhusu presha huwa inacheza 144/80 sometimes hadi 160/88 na kuna muda yanacheza 130/80 , nikamueleza dokta akasema yatakaa sawa tu na ikumbukwe sikuwahi kua na tatizo la presha kabla, ila mwili haupo stable kabisa ila nahisi nitarecover mdogo mdogo tu.
 
Bangi ni suluhisho kwako mimi nilisimbuliwa na tatizo la pressure baada ya kutumia bangi kwa ushauri wa dkt mbadala niko poa sasa
 
Kwa kuongezea hapo kwenye dozi yako tumia na sukari guru na ukishindwa kupata kamua maji ya miwa upike mwenyewe sukari guru, na miwa pia uwe unatumia.
 
Kwa kuongezea hapo kwenye dozi yako tumia na sukari guru na ukishindwa kupata kamua maji ya miwa upike mwenyewe sukari guru, na miwa pia uwe unatumia.
Sawa mkuu sikujua kama sukari guru nayo inanguvu kiasi icho
 
.kwa kuvuta au
Ndiyo kwa kuvuta kiasi mara moja kwa wiki na nimetoka muhimbili jana klinik wameshangaa baada ya vipimo kuonyesha mafanikio.

Nilisimbuliwa sana na pressure ya kushuka kwa muda mrefu iliyosababishwa na portal hypertension iliyopelekea mishipa kupasuka na damu kuvujia tumboni hatimae kutapika na kuharisha damu kwa wingi baada ya kuanza kutumia bangi sijatapika wala kuharisha damu kwa muda mrefu na pressure iko normal
 
Nunua pulse oximeter yako ujipime mwenyewe, mara kwa mara
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kutembea una tembea umbali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…