Update: Rais Magufuli atazikwa Machi 26, 2021

Umefikia kiwango kibaya kabisa cha chuki.Chuki humla yeye aliyeibeba, bali wema humneemesha yeye aliyeibeba.
Walivyomuua ben saanane ndugu yangu kabisa undhani nilipata mchungu kiasi gani??

Yaani nna chuki nao kuliko hii uliuoiona hapo.
 
Mimi sikutaka afe. Nilitaka hiyo stroke aliyopata abakie anahema, anakaa kitandani kila kitu yaani haja kubwa na ndogo anaachia hapo hapo mpaka mwaka 2025 ili aone faida ya zile kura za u-Rais alizoiba October 25, 2020.

Huyu Magufuli alikuwa na unyama ambao hata Shetani anaogopa.
 
Hutaki pesa zirudi mtaani!!???
au mafundi wapate chochote
 
Msisahau kusaini mishahara itoke kama kawaida, maana hamchelewi kujisahaurisha.

cc; Samia & Bashiru

Kumbuka ni first time hii kwenu.
 
Wampitishe na Ikungi kwa akina lisu, dah wanyaturu noma wameamua kupiga kitu titi fo tati.

Hawakupendezwa na mpendwa wao kupigwa risasi namna ile

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Umakini huko kunakohusika inaonekana haupo.

Hii ni ishara mbaya, hatarishi sana juu ya taifa letu.

Disorganized and in disarray!

Haya ni mapungufu makubwa yasiyotakiwa kuonekana hadharani.

Mara maombolezo siku 14; hapana 21; baada hata ya kutojulikana Rais alikuwa wapi, anaumwa ama anachapa kazi.

Haya yote ni ishara ya 'incompetence', mambo yanayotokea kwenye nchi zinazoitwa 'Banana Republic.'

Tanzania miaka hii ya karibuni imekuwa ni Banana Republic' kikwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…