nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Eti nitume laki na 95 elf, dereva aanze safari kuuleta nilipo hahah..nikichelewa mzigo utawekwa store kwa kila siku 20k inaongezeka.. Namwambia namtumia ndugu yangu aje abebe eti hapana tuma ela kwa namba tulikupa hutaki tunaweka mzigo store. Hahaa kumeanza kuchangamka. Kupitia uzi wangu watu wapate somo.