UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kama kila kitu kina madhara kama unavyosema sasa hao wataalamu wanavyosema hizo chanjo wamezipima na hazina madhara wanakuwa na maana gani?Kuna Chanjo/dawa ambayo haina side effects? Waulize wamama wanaopeleka watoto wadogo clinic kuchoma chanjo watakwambia baadhi ya side effects za chanjo zinazowapata watoto wao! Kila kitu kina madhara ,hata maji ukizidisha mwilini ni hatari kwa afya au yakiwa ya moto ni sumu ndani ya mwili au kwa mmea.
Form ile kujaza ni kuonyesha uhiyari wa client kukubali au kukataa kuchanja na si kweli kama ukipata side effects serikali haikuhudumii ,serikali imesema kabisa ukichoma kama utapata any side effects nenda hospital na utapata huduma bure.
Chanjo kuwa salama au kutokuwa salama mimi na wewe hatuwezi kubisha maana sio wataalamu wa madawa ,hivyo tunawasikiliza wataalam waliozipima,kama wapimaji wamesema ni salama ,mimi ni nani KANJUNJU niwabishie?
Tunaona watu wengi wanajitangaza kuwa wako fit baada ya kuchanjwa ila sasa sijaelewa wako fit kwa kutoganda damu kama wengine au kuwasababishia vifo kama wengine au vp hasa wanachokusudia?