Mwishoni umeweka uzushi kwani Delta imeingia Tanzania kabla ya chanjo. Hauna uthibitisho wowote kama chanjo inaeneza virusi vya corona. Post ikifutwa uanze kwalalamikia Mods.
Hizi chanjo zina mambo sana hizi..keep wondering watu waliochomwa miaka 5 au 10 ijayo watapata madhara gani? Anyways hapa ndipo penye hekima na mwenye masikio na asikie.