UPDATE: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

kata migomba hio iliopo karibu na nyumba ndio chanzo.
bado wapowengi sana humo Iposiku usipo ikata utakutana na joka sio kinyoka Tena.
Tuna mti wa muembe tu mkuu na mpapai mmoja.Kuna kipindi tulipanda mboga mboga aisee zilikubali ila walivyouliwa nyoka wa kijani mara mbili nikaona huu ni upuuzi siwez ishi kwa hofu.Nikasema kata kila kilicho cha kijani sitak kuona
 
Fuga mbwa na paka watakusaidia sana,mimi mbwa wangu mpaka sasa wameshaua cobra 3 lakini mwanzoni walichezea mate za uso mbwa anakaa siku nzima haoni.
 
Vp na fire nao hujawapigia simu waje wamuwe baby sneak na maji ya pressure!!?
 
Unatafuta mwanaume. Hakuna nyoka hapo umekaa ukawa bored ukaona ulete story na kiingereza chako na cha mwanao kibovu. Mkiambiwa muwe mna heshima kwa wanaume mnakuwa wajeuri . Pia fanya fanya mazoezi bado kwenye utunzi hauvutii.
 
🀣🀣🀣🀣 kwahiyo simu yako ukiwasha data, line zote mbili Data inakuwa on!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakin unaonekana wakishua siyo mbaya
 
🀣🀣🀣🀣 kwahiyo simu yako ukiwasha data, line zote mbili Data inakuwa on!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakin unaonekana wakishua siyo mbaya
Mi sio wa kishua na simu ninayotumia haizid 60k labda ndo mana ina behave hivyo.
Ma iphone yenu hayana hiz mambo eeh?
 
mimi ni pastor,,,,,nakutaafsiria maana ya ndoto,,,,,,ulipoota nyoka wengi wanakuingilia kwa kila tundu mpaka masikioni na puani manake una wanaume wengi,,,,,,lakini uhalisia wa mtoto wako nyoka mdogo wakati wewe ulikimbia,ni kwamba mrejee mzazi mwenzako kwani watoto wako wanamuhitaji,ila wewe kukimbia manake unamwogopa baba watoto wako"
 
Kiumbe anaitwa nyoka hata kumtaja tu sitaki. Nishawahi hama nyumba nikihisi ni nyoka kumbe tai imeanguka uvunguni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka hadi nimekaa chini, ukahama kabisa? Sema nini..mimi mwenyewe nakucheka tu ila hata picha ya nyoka naogopa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka hadi nimekaa chini, ukahama kabisa? Sema nini..mimi mwenyewe nakucheka tu ila hata picha ya nyoka naogopa
Mwenza acha kabisa!! Nilikuwa nafanya usafi, ile kuinama uvunguni si nikaona kitu kimejikunja😳😳😳😳
Nilitoka baru bila hata kufunga mlango.
 
Mwenza acha kabisa!! Nilikuwa nafanya usafi, ile kuinama uvunguni si nikaona kitu kimejikunja[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nilitoka baru bila hata kufunga mlango.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mbele ya nyoka hakuna kujikaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…