David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 949
- 1,878
Mm nawaonea wivu walinzi Wako nihayo tu Kwa Leo Sina maoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna mti wa muembe tu mkuu na mpapai mmoja.Kuna kipindi tulipanda mboga mboga aisee zilikubali ila walivyouliwa nyoka wa kijani mara mbili nikaona huu ni upuuzi siwez ishi kwa hofu.Nikasema kata kila kilicho cha kijani sitak kuonakata migomba hio iliopo karibu na nyumba ndio chanzo.
bado wapowengi sana humo Iposiku usipo ikata utakutana na joka sio kinyoka Tena.
Kaombe muhuri wa ban ukipewa huo unaingia pm zote. Niliongea na rafiki yake akamwelekeza akafungua pm Kwa muda ule tu.Umeingilia upenyo gani na mlango wa PM umefungwa mkuu?
Hapana,bahati ni nyingi hata pumzi uliojaliwa ni sehemu ya bahati.Kwa hiyo haviwi na umbo kubwa?
Ngojea niingojee hiyo bahati mkuu.
Vp na fire nao hujawapigia simu waje wamuwe baby sneak na maji ya pressure!!?Hii ni UPDATE ya Post yangu ya jana.
Hakika leo nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa kiume ni mwanaume mana usiku wa jana sijalala kabisa.
Kuna muda nilipitiwa usingizi ila niliota ndoto mbaya kuwa nyoka wamejaa mvunguni hadi wananyanyua kitanda na wengine wamenijalia hadi wamenifunika wanaingilia puani wanatokea masikioni na mdomoni na machoni na vidole vimegeuka nyoka.
Very creepy nikashituka nikawasha taa, nikakung'uta shuka nikatandika tena nikakaa nikiperuzi mtandaoni hadi 12 kasoro ambao ni mida ya twins wangu kuamka na wakiamka break ya kwanza kuja kunisalimia.
Kwa vile pia ni mida ya walinzi kuondoka nikampigia simu mlinzi na kumuomba aende dirishani kwao awaamshe then awaambie wasishuke vitandani kwao kuna nyoka kaingia ndani kwetu mpaka masai aje amuue ndo washuke kitandani.
Hapo nilishampigia jirani yangu amuombe mlinzi wake wa kimasai aje anisaidie kuua nyoka.
Bahati nzuri jana kabla sijaingia bafuni nilienda vyumbani kwa twins wangu (Nina mapacha wa kiume na kike 10yrs) kuhakikisha wamechomeka net zao vizuri.
Baada ya muda nikasikia mlango wa chumban kwangu unagongwa. Nikajiuliza masai kaingiaje ndani kwetu wakati ndo kwanza najiuliza hapa akija nitashukaje kitandani kwenda kumfungulia mlango. Nani kamfungulia?
Wakati bado najiuliza nasikia mlango unagongwa tena then sauti ya pacha wangu wa kiume inaita mom mom!
Nikaogopa kwanini hichi kitoto hakisikii nikamwambia why did you leave your bed do you want the snake to bite you.?
.
Son:Mom!
Me:If I hear one more mom from your mouth I'll bit you today!Go back to your bed until Masai comes.
Son:Mom do you know who killed that baby snake we saw some weeks ago?
Huku ninatetemeka nikauliza
Me: Did you kill it?
Son:Yes mom! I played with it a lil then I stepped on it!
Me!Jeeeeesuuusssss!Whaaaaaaaat!?
Son:Even last time we went to visit grandma me and my friend killed a very big snake that wanted to eat grandmas chicks!
Me:Yeeeeesuuuu na Maria!Eti nini!?
Son;Mom!
Me:Enheee!
Son:How big is the snake in your bathroom mom?
Me:It is a baby snake just like the one you stepped on!
Akachekaaaa halafu akaniambia
"We d'ont need Masai for that momy!I'll kill it....Can I open the door.?
Mwanangu alivyoingia nikasema siwez kujificha kitandan nimuache aende kwenye hatari mwenyewe.
Nikashuka kitandani huku natetemeka. Alivyotaka kufungua mlango wa bafuni nikawaza hiv tukifungua halafu tukakuta kale katoto kako na mama yake na baba yake nitafanyaje.
Nikamwambia mwanagu usifungue acha tu Masai anakuja sasa hivi ila mwanangu nahisi alijifanya hajasikia akafungua mlango akaingia ikabidi na mim nimfuate huku natetemeka lkn hatukuona kitu sakafuni wala popote ila baada ya muda nikakaona kwenye kona ya ukuta na nikivyokaona tu ujasiri ukaniisha nikapiga yowe nikatoka mbio huku namvuta mwanangu mpaka chumban lkn bahat mbaya nikataka kudondoka nikamuachia mkono.
Nilivyoachia tu mkono wake mwanangu akarudi bafuni akaenda kuua kale kanyoka then akatoka nako huku kakaweka kwenye karatasi ananiambia huku anacheka "Its just a baby snake mom it cant do you nothing'.
Kale ka kike kule chumbani kalivyosikia napiga yowe na kenyewe kakapokea ikawa ni mayowe plus plus.
Watu wa fummigation wamesema wanakuja ila mpaka saa hiz hawajaja. Nimepuliza rungu 13 nyumba nyumba yote inanuka dawa.
Huyo pichani ndo mwamba alofanya nilale bila kuoga, nisipate usingizi nibane haja ndogo kwa zaidi ya masaa manne.[emoji51]
View attachment 2589175
Mkasa ulipoanzia, soma: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu
Hahahahaha!![emoji23] wakishua bhana
Hatimae juniour aua joka
Unatafuta mwanaume. Hakuna nyoka hapo umekaa ukawa bored ukaona ulete story na kiingereza chako na cha mwanao kibovu. Mkiambiwa muwe mna heshima kwa wanaume mnakuwa wajeuri . Pia fanya fanya mazoezi bado kwenye utunzi hauvutii.Hii ni UPDATE ya Post yangu ya jana.
Hakika leo nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa kiume ni mwanaume mana usiku wa jana sijalala kabisa.
Kuna muda nilipitiwa usingizi ila niliota ndoto mbaya kuwa nyoka wamejaa mvunguni hadi wananyanyua kitanda na wengine wamenijalia hadi wamenifunika wanaingilia puani wanatokea masikioni na mdomoni na machoni na vidole vimegeuka nyoka.
Very creepy nikashituka nikawasha taa, nikakung'uta shuka nikatandika tena nikakaa nikiperuzi mtandaoni hadi 12 kasoro ambao ni mida ya twins wangu kuamka na wakiamka break ya kwanza kuja kunisalimia.
Kwa vile pia ni mida ya walinzi kuondoka nikampigia simu mlinzi na kumuomba aende dirishani kwao awaamshe then awaambie wasishuke vitandani kwao kuna nyoka kaingia ndani kwetu mpaka masai aje amuue ndo washuke kitandani.
Hapo nilishampigia jirani yangu amuombe mlinzi wake wa kimasai aje anisaidie kuua nyoka.
Bahati nzuri jana kabla sijaingia bafuni nilienda vyumbani kwa twins wangu (Nina mapacha wa kiume na kike 10yrs) kuhakikisha wamechomeka net zao vizuri.
Baada ya muda nikasikia mlango wa chumban kwangu unagongwa. Nikajiuliza masai kaingiaje ndani kwetu wakati ndo kwanza najiuliza hapa akija nitashukaje kitandani kwenda kumfungulia mlango. Nani kamfungulia?
Wakati bado najiuliza nasikia mlango unagongwa tena then sauti ya pacha wangu wa kiume inaita mom mom!
Nikaogopa kwanini hichi kitoto hakisikii nikamwambia why did you leave your bed do you want the snake to bite you.?
.
Son:Mom!
Me:If I hear one more mom from your mouth I'll bit you today!Go back to your bed until Masai comes.
Son:Mom do you know who killed that baby snake we saw some weeks ago?
Huku ninatetemeka nikauliza
Me: Did you kill it?
Son:Yes mom! I played with it a lil then I stepped on it!
Me!Jeeeeesuuusssss!Whaaaaaaaat!?
Son:Even last time we went to visit grandma me and my friend killed a very big snake that wanted to eat grandmas chicks!
Me:Yeeeeesuuuu na Maria!Eti nini!?
Son;Mom!
Me:Enheee!
Son:How big is the snake in your bathroom mom?
Me:It is a baby snake just like the one you stepped on!
Akachekaaaa halafu akaniambia
"We d'ont need Masai for that momy!I'll kill it....Can I open the door.?
Mwanangu alivyoingia nikasema siwez kujificha kitandan nimuache aende kwenye hatari mwenyewe.
Nikashuka kitandani huku natetemeka. Alivyotaka kufungua mlango wa bafuni nikawaza hiv tukifungua halafu tukakuta kale katoto kako na mama yake na baba yake nitafanyaje.
Nikamwambia mwanagu usifungue acha tu Masai anakuja sasa hivi ila mwanangu nahisi alijifanya hajasikia akafungua mlango akaingia ikabidi na mim nimfuate huku natetemeka lkn hatukuona kitu sakafuni wala popote ila baada ya muda nikakaona kwenye kona ya ukuta na nikivyokaona tu ujasiri ukaniisha nikapiga yowe nikatoka mbio huku namvuta mwanangu mpaka chumban lkn bahat mbaya nikataka kudondoka nikamuachia mkono.
Nilivyoachia tu mkono wake mwanangu akarudi bafuni akaenda kuua kale kanyoka then akatoka nako huku kakaweka kwenye karatasi ananiambia huku anacheka "Its just a baby snake mom it cant do you nothing'.
Kale ka kike kule chumbani kalivyosikia napiga yowe na kenyewe kakapokea ikawa ni mayowe plus plus.
Watu wa fummigation wamesema wanakuja ila mpaka saa hiz hawajaja. Nimepuliza rungu 13 nyumba nyumba yote inanuka dawa.
Huyo pichani ndo mwamba alofanya nilale bila kuoga, nisipate usingizi nibane haja ndogo kwa zaidi ya masaa manne.😬
View attachment 2589175
Mkasa ulipoanzia, soma: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu
kabisa mkuuHapana,bahati ni nyingi hata pumzi uliojaliwa ni sehemu ya bahati.
Hatari.Fuga mbwa na paka watakusaidia sana,mimi mbwa wangu mpaka sasa wameshaua cobra 3 lakini mwanzoni walichezea mate za uso mbwa anakaa siku nzima haoni.
Nataka nikuchumbieNdio.
Ni dhambi?
🤣🤣🤣🤣 kwahiyo simu yako ukiwasha data, line zote mbili Data inakuwa on!?😂😂😂 lakin unaonekana wakishua siyo mbayaHii ni UPDATE ya Post yangu ya jana.
Hakika leo nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa kiume ni mwanaume mana usiku wa jana sijalala kabisa.
Kuna muda nilipitiwa usingizi ila niliota ndoto mbaya kuwa nyoka wamejaa mvunguni hadi wananyanyua kitanda na wengine wamenijalia hadi wamenifunika wanaingilia puani wanatokea masikioni na mdomoni na machoni na vidole vimegeuka nyoka.
Very creepy nikashituka nikawasha taa, nikakung'uta shuka nikatandika tena nikakaa nikiperuzi mtandaoni hadi 12 kasoro ambao ni mida ya twins wangu kuamka na wakiamka break ya kwanza kuja kunisalimia.
Kwa vile pia ni mida ya walinzi kuondoka nikampigia simu mlinzi na kumuomba aende dirishani kwao awaamshe then awaambie wasishuke vitandani kwao kuna nyoka kaingia ndani kwetu mpaka masai aje amuue ndo washuke kitandani.
Hapo nilishampigia jirani yangu amuombe mlinzi wake wa kimasai aje anisaidie kuua nyoka.
Bahati nzuri jana kabla sijaingia bafuni nilienda vyumbani kwa twins wangu (Nina mapacha wa kiume na kike 10yrs) kuhakikisha wamechomeka net zao vizuri.
Baada ya muda nikasikia mlango wa chumban kwangu unagongwa. Nikajiuliza masai kaingiaje ndani kwetu wakati ndo kwanza najiuliza hapa akija nitashukaje kitandani kwenda kumfungulia mlango. Nani kamfungulia?
Wakati bado najiuliza nasikia mlango unagongwa tena then sauti ya pacha wangu wa kiume inaita mom mom!
Nikaogopa kwanini hichi kitoto hakisikii nikamwambia why did you leave your bed do you want the snake to bite you.?
.
Son:Mom!
Me:If I hear one more mom from your mouth I'll bit you today!Go back to your bed until Masai comes.
Son:Mom do you know who killed that baby snake we saw some weeks ago?
Huku ninatetemeka nikauliza
Me: Did you kill it?
Son:Yes mom! I played with it a lil then I stepped on it!
Me!Jeeeeesuuusssss!Whaaaaaaaat!?
Son:Even last time we went to visit grandma me and my friend killed a very big snake that wanted to eat grandmas chicks!
Me:Yeeeeesuuuu na Maria!Eti nini!?
Son;Mom!
Me:Enheee!
Son:How big is the snake in your bathroom mom?
Me:It is a baby snake just like the one you stepped on!
Akachekaaaa halafu akaniambia
"We d'ont need Masai for that momy!I'll kill it....Can I open the door.?
Mwanangu alivyoingia nikasema siwez kujificha kitandan nimuache aende kwenye hatari mwenyewe.
Nikashuka kitandani huku natetemeka. Alivyotaka kufungua mlango wa bafuni nikawaza hiv tukifungua halafu tukakuta kale katoto kako na mama yake na baba yake nitafanyaje.
Nikamwambia mwanagu usifungue acha tu Masai anakuja sasa hivi ila mwanangu nahisi alijifanya hajasikia akafungua mlango akaingia ikabidi na mim nimfuate huku natetemeka lkn hatukuona kitu sakafuni wala popote ila baada ya muda nikakaona kwenye kona ya ukuta na nikivyokaona tu ujasiri ukaniisha nikapiga yowe nikatoka mbio huku namvuta mwanangu mpaka chumban lkn bahat mbaya nikataka kudondoka nikamuachia mkono.
Nilivyoachia tu mkono wake mwanangu akarudi bafuni akaenda kuua kale kanyoka then akatoka nako huku kakaweka kwenye karatasi ananiambia huku anacheka "Its just a baby snake mom it cant do you nothing'.
Kale ka kike kule chumbani kalivyosikia napiga yowe na kenyewe kakapokea ikawa ni mayowe plus plus.
Watu wa fummigation wamesema wanakuja ila mpaka saa hiz hawajaja. Nimepuliza rungu 13 nyumba nyumba yote inanuka dawa.
Huyo pichani ndo mwamba alofanya nilale bila kuoga, nisipate usingizi nibane haja ndogo kwa zaidi ya masaa manne.😬
View attachment 2589175
Mkasa ulipoanzia, soma: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu
Mi sio wa kishua na simu ninayotumia haizid 60k labda ndo mana ina behave hivyo.🤣🤣🤣🤣 kwahiyo simu yako ukiwasha data, line zote mbili Data inakuwa on!?😂😂😂 lakin unaonekana wakishua siyo mbaya
mimi ni pastor,,,,,nakutaafsiria maana ya ndoto,,,,,,ulipoota nyoka wengi wanakuingilia kwa kila tundu mpaka masikioni na puani manake una wanaume wengi,,,,,,lakini uhalisia wa mtoto wako nyoka mdogo wakati wewe ulikimbia,ni kwamba mrejee mzazi mwenzako kwani watoto wako wanamuhitaji,ila wewe kukimbia manake unamwogopa baba watoto wako"Hii ni UPDATE ya Post yangu ya jana.
Hakika leo nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa kiume ni mwanaume mana usiku wa jana sijalala kabisa.
Kuna muda nilipitiwa usingizi ila niliota ndoto mbaya kuwa nyoka wamejaa mvunguni hadi wananyanyua kitanda na wengine wamenijalia hadi wamenifunika wanaingilia puani wanatokea masikioni na mdomoni na machoni na vidole vimegeuka nyoka.
Very creepy nikashituka nikawasha taa, nikakung'uta shuka nikatandika tena nikakaa nikiperuzi mtandaoni hadi 12 kasoro ambao ni mida ya twins wangu kuamka na wakiamka break ya kwanza kuja kunisalimia.
Kwa vile pia ni mida ya walinzi kuondoka nikampigia simu mlinzi na kumuomba aende dirishani kwao awaamshe then awaambie wasishuke vitandani kwao kuna nyoka kaingia ndani kwetu mpaka masai aje amuue ndo washuke kitandani.
Hapo nilishampigia jirani yangu amuombe mlinzi wake wa kimasai aje anisaidie kuua nyoka.
Bahati nzuri jana kabla sijaingia bafuni nilienda vyumbani kwa twins wangu (Nina mapacha wa kiume na kike 10yrs) kuhakikisha wamechomeka net zao vizuri.
Baada ya muda nikasikia mlango wa chumban kwangu unagongwa. Nikajiuliza masai kaingiaje ndani kwetu wakati ndo kwanza najiuliza hapa akija nitashukaje kitandani kwenda kumfungulia mlango. Nani kamfungulia?
Wakati bado najiuliza nasikia mlango unagongwa tena then sauti ya pacha wangu wa kiume inaita mom mom!
Nikaogopa kwanini hichi kitoto hakisikii nikamwambia why did you leave your bed do you want the snake to bite you.?
.
Son:Mom!
Me:If I hear one more mom from your mouth I'll bit you today!Go back to your bed until Masai comes.
Son:Mom do you know who killed that baby snake we saw some weeks ago?
Huku ninatetemeka nikauliza
Me: Did you kill it?
Son:Yes mom! I played with it a lil then I stepped on it!
Me!Jeeeeesuuusssss!Whaaaaaaaat!?
Son:Even last time we went to visit grandma me and my friend killed a very big snake that wanted to eat grandmas chicks!
Me:Yeeeeesuuuu na Maria!Eti nini!?
Son;Mom!
Me:Enheee!
Son:How big is the snake in your bathroom mom?
Me:It is a baby snake just like the one you stepped on!
Akachekaaaa halafu akaniambia
"We d'ont need Masai for that momy!I'll kill it....Can I open the door.?
Mwanangu alivyoingia nikasema siwez kujificha kitandan nimuache aende kwenye hatari mwenyewe.
Nikashuka kitandani huku natetemeka. Alivyotaka kufungua mlango wa bafuni nikawaza hiv tukifungua halafu tukakuta kale katoto kako na mama yake na baba yake nitafanyaje.
Nikamwambia mwanagu usifungue acha tu Masai anakuja sasa hivi ila mwanangu nahisi alijifanya hajasikia akafungua mlango akaingia ikabidi na mim nimfuate huku natetemeka lkn hatukuona kitu sakafuni wala popote ila baada ya muda nikakaona kwenye kona ya ukuta na nikivyokaona tu ujasiri ukaniisha nikapiga yowe nikatoka mbio huku namvuta mwanangu mpaka chumban lkn bahat mbaya nikataka kudondoka nikamuachia mkono.
Nilivyoachia tu mkono wake mwanangu akarudi bafuni akaenda kuua kale kanyoka then akatoka nako huku kakaweka kwenye karatasi ananiambia huku anacheka "Its just a baby snake mom it cant do you nothing'.
Kale ka kike kule chumbani kalivyosikia napiga yowe na kenyewe kakapokea ikawa ni mayowe plus plus.
Watu wa fummigation wamesema wanakuja ila mpaka saa hiz hawajaja. Nimepuliza rungu 13 nyumba nyumba yote inanuka dawa.
Huyo pichani ndo mwamba alofanya nilale bila kuoga, nisipate usingizi nibane haja ndogo kwa zaidi ya masaa manne.😬
View attachment 2589175
Mkasa ulipoanzia, soma: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka hadi nimekaa chini, ukahama kabisa? Sema nini..mimi mwenyewe nakucheka tu ila hata picha ya nyoka naogopaKiumbe anaitwa nyoka hata kumtaja tu sitaki. Nishawahi hama nyumba nikihisi ni nyoka kumbe tai imeanguka uvunguni.
Mwenza acha kabisa!! Nilikuwa nafanya usafi, ile kuinama uvunguni si nikaona kitu kimejikunja😳😳😳😳[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka hadi nimekaa chini, ukahama kabisa? Sema nini..mimi mwenyewe nakucheka tu ila hata picha ya nyoka naogopa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mbele ya nyoka hakuna kujikazaMwenza acha kabisa!! Nilikuwa nafanya usafi, ile kuinama uvunguni si nikaona kitu kimejikunja[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nilitoka baru bila hata kufunga mlango.
Aaah hapana kwakweli kujitia ujasiri mbele ya lile likitu!!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mbele ya nyoka hakuna kujikaza
Huyu sio ndumilakuwili?Sio jongoo.Ni kinyoka