UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

I

Hey, I understand your concerns, and I agree that the policy should be revised again. While filters can be useful to achieve high results, it's essential to ensure that they are fair and not biased against smart doctors. The current exam may not be valid, but that doesn't mean we should reject it entirely. Instead, the board should consider creating a standard exam that truly evaluates a doctor's skills and knowledge. It's true that sometimes we tend to oppose and criticize changes proposed by experts or the government. However, constructive feedback is essential to ensure that policies and decisions are in the best interest of everyone involved. The exam's revision can have a positive impact, and it's crucial to address the issue of Imposter Syndrome that doctors and experts face. Ultimately, the goal should be to create a fair and effective exam that allows all qualified doctors to practice, while also upholding high standards of medical care in Tanzania📌📌🙏🏼
Haya Dokta pambaneni sisi tunataka tu huduma bora. Yangiswe muachie ngoswe mwenyewe .
 
Ninaweza kuelewa wasiwasi wako, lakini ni muhimu kutofautisha masuala ya mitihani ya sekondari na mitihani ya udaktari. Mitihani ya sekondari inaweza kutofautiana na mitihani ya udaktari kwa kiwango cha utata na ugumu. Ni haki kwa wale waliofaulu kufurahia mafanikio yao, lakini tunapaswa pia kutambua kuwa kuna masuala yaliyojitokeza katika mitihani ya udaktari ambayo yanahitaji kushughulikiwa. Kupaza sauti si tu kuhusu wale waliofaulu au kushindwa, bali ni juu ya kuhakikisha kuwa mchakato wa mitihani ni wa haki, uwazi, na unaendana na viwango vya kitaaluma. Kuna masuala kama vile utungwaji wa maswali ambao hauendani na viwango vya matibabu, ukosefu wa uwazi katika kutoa matokeo, ambayo yanaweza kuathiri uwezo wa madaktari kufanya kazi zao kwa ufanisi.
Kwa kuunganisha sauti zao, tunataka kuhakikisha kuwa madaktari wote wenye uwezo wanapata nafasi ya kuonyesha ujuzi wao na kutoa huduma bora za afya. Hii inahusu si tu wale waliofaulu au kushindwa, bali ni juu ya kuboresha mfumo mzima wa mitihani ili kuwa na madaktari bora na wenye ujuzi ambao watasaidia kuboresha huduma za afya na ustawi wa jamii yetu.

Ni muhimu kuzingatia masuala yanayohusu haki na uwazi katika mchakato wa mitihani ili tuweze kujenga mfumo thabiti na wa kuaminika ambao unathamini na kukuza talanta ya madaktari wetu na kuboresha afya ya jamii yetu 📌

Umeeleweka, kila la heri
 
Mtihani si utatungwa na baraza? Halafu si kuna vigezo vya kutunga mtihani?
Hata wakiajili bila mtihani bado personal interest hazikwepeki na lawama zitakuwepo sababu hao ni binadamu tu. Hata wewe akija bibi yako kutibiwa huko hispital utamfanyia upendele tu.
Si busara kuacha mambo ya maana kwa sababu ya personal interest za mtu mmoja.
Nadhani mngejadili zaidi ubora wa mtihani au upimaji ufanyikeje sio kutupilia mbali.
Serikali sio wajinga wanajua wengine wamepata vyeti kiujanja ujanja huko vyuoni.
Kumbuka hivi vyuo maadili vinatofautiana.
Ibawezekana mwenye second ckass yuko vizuti kuliko wa first class.
Mi ningependa sana Tanzsnua tuwe na fsir competion kwenye kila jambo.
Hsta wakuu na mabos wa idara mbali mbali wawe waba compete sio kuteuliwa kiushkaji tu kisa mnafahamuana.
Ungekua umeuona huo mtihani,namna ya kujib na hta idad na namna ya maswali yanavyoulizwa sku zote majib yatatofautiana kutokana na level ya Hospital mtu aliyofanyia internship. Braza ni ngumu kuelewa kwa kuandka hapa ila kiuhalisia mtihani huo sio standard ya kusema ndo I decide miaka sita ya mtu kwa ajili ya leseni. Hivyo iboreshwe lakn pia sio kigezo tu cha kutegemewa kwa ajili ya kutoa leseni Bali practice walizofanya wakiwa internship chini ya uangalizi wa madaktari husika hko
 
Ninaweza kuelewa wasiwasi wako, lakini ni muhimu kutofautisha masuala ya mitihani ya sekondari na mitihani ya udaktari. Mitihani ya sekondari inaweza kutofautiana na mitihani ya udaktari kwa kiwango cha utata na ugumu. Ni haki kwa wale waliofaulu kufurahia mafanikio yao, lakini tunapaswa pia kutambua kuwa kuna masuala yaliyojitokeza katika mitihani ya udaktari ambayo yanahitaji kushughulikiwa. Kupaza sauti si tu kuhusu wale waliofaulu au kushindwa, bali ni juu ya kuhakikisha kuwa mchakato wa mitihani ni wa haki, uwazi, na unaendana na viwango vya kitaaluma. Kuna masuala kama vile utungwaji wa maswali ambao hauendani na viwango vya matibabu, ukosefu wa uwazi katika kutoa matokeo, ambayo yanaweza kuathiri uwezo wa madaktari kufanya kazi zao kwa ufanisi.
Kwa kuunganisha sauti zao, tunataka kuhakikisha kuwa madaktari wote wenye uwezo wanapata nafasi ya kuonyesha ujuzi wao na kutoa huduma bora za afya. Hii inahusu si tu wale waliofaulu au kushindwa, bali ni juu ya kuboresha mfumo mzima wa mitihani ili kuwa na madaktari bora na wenye ujuzi ambao watasaidia kuboresha huduma za afya na ustawi wa jamii yetu.

Ni muhimu kuzingatia masuala yanayohusu haki na uwazi katika mchakato wa mitihani ili tuweze kujenga mfumo thabiti na wa kuaminika ambao unathamini na kukuza talanta ya madaktari wetu na kuboresha afya ya jamii yetu [emoji419]
Watu wana compare kabosa mitihano ya sekondari na ya udaktari dah hii nchi hii[emoji119]. Watu waelewe Mtu mpaka anamaliza internship anakua amefundishwa na wataalamu wengi sn sio tu lecturer,sio tu Daktari wa hospitali za kupractice baada ya darasani, na sio tu Dajtari bingwa wa magonjwa na upasuaji Bali pia kila idara kama Radiologia,Anaesthesia na ENT. Vipo pia vingine Psychiatrist, Ophthalmologist na wengne wengi tu. Bado short courses bado Ethics na mengne. Halafu haya yote yanakuja kupimwa masaa 3 tena kwa multiple choices halafu kwa new system ambayo hawajawai kuitumia kamwe ya namna ya kujib. Hapo sio sawa
 
Mm sijapinga mtihani ila nasema bado sio kigezo sahihi. Unadhan kutibu ni kufanya mtihan tu? Inategemea na exposures pia. Ushaona mtihani huo maswali yake? Unajua yamebase wap? Level ya hospitali husika? Decision-making ya kujib swali husika unaeielewa kua inadepend na mambo meng?
Kwani waliofaulu wamefanyaje?? Na pia kama umefeli kwa bahati mbaya ule mtihani unaruhusiwa kuurudia, Mimi naona hamna shida yoyote
 
Watu wana compare kabosa mitihano ya sekondari na ya udaktari dah hii nchi hii[emoji119]. Watu waelewe Mtu mpaka anamaliza internship anakua amefundishwa na wataalamu wengi sn sio tu lecturer,sio tu Daktari wa hospitali za kupractice baada ya darasani, na sio tu Dajtari bingwa wa magonjwa na upasuaji Bali pia kila idara kama Radiologia,Anaesthesia na ENT. Vipo pia vingine Psychiatrist, Ophthalmologist na wengne wengi tu. Bado short courses bado Ethics na mengne. Halafu haya yote yanakuja kupimwa masaa 3 tena kwa multiple choices halafu kwa new system ambayo hawajawai kuitumia kamwe ya namna ya kujib. Hapo sio sawa
kumbe multiple choices?? 🙆🏻‍♂️
 
Mfamasia ana Mtihani wa Leseni
Nesi ana mtihani wa leaeni
Daktari hataki mtihani wa leseni sababu Anaona anaonewa na ameshapimwa vya kutosha.. MCT kazeni hapo hapo yani hawa vijana wahakikiwe kama walipikwa wakaivaa maana kuna vyuo ni ujanja ujanjaa tuu na ndo hao wanaongoza kulalamika.
 
Huo mtihani si unaweza kurudia??
 
Yaan ukweli ni kwamba madaktari wameshakuwa wengi sasa linatafutwa chujio kama ilivyo law school, Cpa i.e NBAA
 
Ungekua umeuona huo mtihani,namna ya kujib na hta idad na namna ya maswali yanavyoulizwa sku zote majib yatatofautiana kutokana na level ya Hospital mtu aliyofanyia internship. Braza ni ngumu kuelewa kwa kuandka hapa ila kiuhalisia mtihani huo sio standard ya kusema ndo I decide miaka sita ya mtu kwa ajili ya leseni. Hivyo iboreshwe lakn pia sio kigezo tu cha kutegemewa kwa ajili ya kutoa leseni Bali practice walizofanya wakiwa internship chini ya uangalizi wa madaktari husika hko
Poleni ndugu ila mkubali ukweli kuwa mmeshakuwa wengi inataftwa namna TU ya kuwapunguza
 
Back
Top Bottom