UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

Haya Dokta pambaneni sisi tunataka tu huduma bora. Yangiswe muachie ngoswe mwenyewe .
 

Umeeleweka, kila la heri
 
Ungekua umeuona huo mtihani,namna ya kujib na hta idad na namna ya maswali yanavyoulizwa sku zote majib yatatofautiana kutokana na level ya Hospital mtu aliyofanyia internship. Braza ni ngumu kuelewa kwa kuandka hapa ila kiuhalisia mtihani huo sio standard ya kusema ndo I decide miaka sita ya mtu kwa ajili ya leseni. Hivyo iboreshwe lakn pia sio kigezo tu cha kutegemewa kwa ajili ya kutoa leseni Bali practice walizofanya wakiwa internship chini ya uangalizi wa madaktari husika hko
 
Watu wana compare kabosa mitihano ya sekondari na ya udaktari dah hii nchi hii[emoji119]. Watu waelewe Mtu mpaka anamaliza internship anakua amefundishwa na wataalamu wengi sn sio tu lecturer,sio tu Daktari wa hospitali za kupractice baada ya darasani, na sio tu Dajtari bingwa wa magonjwa na upasuaji Bali pia kila idara kama Radiologia,Anaesthesia na ENT. Vipo pia vingine Psychiatrist, Ophthalmologist na wengne wengi tu. Bado short courses bado Ethics na mengne. Halafu haya yote yanakuja kupimwa masaa 3 tena kwa multiple choices halafu kwa new system ambayo hawajawai kuitumia kamwe ya namna ya kujib. Hapo sio sawa
 
Kwani waliofaulu wamefanyaje?? Na pia kama umefeli kwa bahati mbaya ule mtihani unaruhusiwa kuurudia, Mimi naona hamna shida yoyote
 
kumbe multiple choices?? 🙆🏻‍♂️
 
Mfamasia ana Mtihani wa Leseni
Nesi ana mtihani wa leaeni
Daktari hataki mtihani wa leseni sababu Anaona anaonewa na ameshapimwa vya kutosha.. MCT kazeni hapo hapo yani hawa vijana wahakikiwe kama walipikwa wakaivaa maana kuna vyuo ni ujanja ujanjaa tuu na ndo hao wanaongoza kulalamika.
 
Huo mtihani si unaweza kurudia??
 
Yaan ukweli ni kwamba madaktari wameshakuwa wengi sasa linatafutwa chujio kama ilivyo law school, Cpa i.e NBAA
 
Poleni ndugu ila mkubali ukweli kuwa mmeshakuwa wengi inataftwa namna TU ya kuwapunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…