Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Ft yanga 2 - 1 lipuliVyura wako wapi waje kutupa maoni yao juu ya waamuzi.[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Goli limeingia kivipi? Kwa waliokuwa uwanjani hawawezi kuona kama mpira ulivuka mstari au lah kwavile hakuna tv yakuwaonesha marudio. Lakini kwa watu walio kwenye tv wanapata nafasi nzuri ta kushuhudia kama mpira umevuka mstari au lah. Sasa tuondolee ubishi naomba uweke picha ya mpira ulivyokuwa juu halafu tuchoree mstari ukionesha mpira umevuka wa golini.yanga mechi nyingi anabebwa ila kwa sababu simba hawafatilii mechi zao wao ndio wanabaki wanapiga kelele na waandishi habari njaa goli limeingia line2 anasema kona ila yamekaa kimya inaonekana var yao inafanya kazi kwenye mechi za simba tu
Unazungumziaje waamuzi Leo?๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ
Weka screenshot basLipuli alipata goli lilikataliwa.
Na mengine mengi tu.
Leo unafiki wenu utadhihirika
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maoni gani juu ya waamuzi Leo?Goli limeingia kivipi? Kwa waliokuwa uwanjani hawawezi kuona kama mpira ulivuka mstari au lah kwavile hakuna tv yakuwaonesha marudio. Lakini kwa watu walio kwenye tv wanapata nafasi nzuri ta kushuhudia kama mpira umevuka mstari au lah. Sasa tuondolee ubishi naomba uweke picha ya mpira ulivyokuwa juu halafu tuchoree mstari ukionesha mpira umevuka wa golini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me napenda kuangalia habari za michezo Cha sports arena cha wasafi fm wale hawana ushabiki na uteam wanachambua soka kwa weredi
Refa mpira ulimshinda. Na timu zote mbili (yanga na lipuli) zimekuwa zikionewa kwa maamuzi yasiyo sahihi. Kama kuhusu mpira aliutema Metacha na kugonga mwamba. Kama unaona Lipuli walinyimwa goli basi tuweke hapa picha ikionesha mpira umevuka mstariDah, sijaona wale viherehere kuzungumzia maamuzi ya refa leo..!
Lipuli alipata goli lilikataliwa.
Na mengine mengi tu.
Leo unafiki wenu utadhihirika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haukuvuka msitari kona imetoka wapi?Goli limeingia kivipi? Kwa waliokuwa uwanjani hawawezi kuona kama mpira ulivuka mstari au lah kwavile hakuna tv yakuwaonesha marudio. Lakini kwa watu walio kwenye tv wanapata nafasi nzuri ta kushuhudia kama mpira umevuka mstari au lah. Sasa tuondolee ubishi naomba uweke picha ya mpira ulivyokuwa juu halafu tuchoree mstari ukionesha mpira umevuka wa golini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo alipoonewa Yanga
Hakuna goli pale ,Tunavyowaambia marefa ni wabovu ona sasa leo lipuli kakataliwa magoli mawili