Update Yanga Sc VS Lipuli Taifa

Update Yanga Sc VS Lipuli Taifa

yanga mechi nyingi anabebwa ila kwa sababu simba hawafatilii mechi zao wao ndio wanabaki wanapiga kelele na waandishi habari njaa goli limeingia line2 anasema kona ila yamekaa kimya inaonekana var yao inafanya kazi kwenye mechi za simba tu
Goli limeingia kivipi? Kwa waliokuwa uwanjani hawawezi kuona kama mpira ulivuka mstari au lah kwavile hakuna tv yakuwaonesha marudio. Lakini kwa watu walio kwenye tv wanapata nafasi nzuri ta kushuhudia kama mpira umevuka mstari au lah. Sasa tuondolee ubishi naomba uweke picha ya mpira ulivyokuwa juu halafu tuchoree mstari ukionesha mpira umevuka wa golini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka screenshot bas

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hii
IMG_20200204_213227.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me napenda kuangalia habari za michezo Cha sports arena cha wasafi fm wale hawana ushabiki na uteam wanachambua soka kwa weredi
 
Goli limeingia kivipi? Kwa waliokuwa uwanjani hawawezi kuona kama mpira ulivuka mstari au lah kwavile hakuna tv yakuwaonesha marudio. Lakini kwa watu walio kwenye tv wanapata nafasi nzuri ta kushuhudia kama mpira umevuka mstari au lah. Sasa tuondolee ubishi naomba uweke picha ya mpira ulivyokuwa juu halafu tuchoree mstari ukionesha mpira umevuka wa golini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una maoni gani juu ya waamuzi Leo?
 
Dah, sijaona wale viherehere kuzungumzia maamuzi ya refa leo..!
Refa mpira ulimshinda. Na timu zote mbili (yanga na lipuli) zimekuwa zikionewa kwa maamuzi yasiyo sahihi. Kama kuhusu mpira aliutema Metacha na kugonga mwamba. Kama unaona Lipuli walinyimwa goli basi tuweke hapa picha ikionesha mpira umevuka mstari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goli limeingia kivipi? Kwa waliokuwa uwanjani hawawezi kuona kama mpira ulivuka mstari au lah kwavile hakuna tv yakuwaonesha marudio. Lakini kwa watu walio kwenye tv wanapata nafasi nzuri ta kushuhudia kama mpira umevuka mstari au lah. Sasa tuondolee ubishi naomba uweke picha ya mpira ulivyokuwa juu halafu tuchoree mstari ukionesha mpira umevuka wa golini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haukuvuka msitari kona imetoka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom