Update Yanga Sc VS Lipuli Taifa

Update Yanga Sc VS Lipuli Taifa

Kuna goli lingine halali la lipuli limekataliwa, metacha hakufanyiwa foul na kaukosa mpira na paul nonga hakuwa offside.
Mkuu, tuwekee screenshot hapa. wakati mpira unapigwa kwenda kwa paul nonga. ili tuone kama paul nonga alikuwa kwenye onside au offside position. Yawezekana unachosema kikawa ni kweli au si kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi na lile lingine , metacha hajafanyiwa foul na nonga hakuwa offside mpira ukatinga nuyavuni?
Mkuu, tuwekee screenshot hapa. wakati mpira unapigwa kwenda kwa paul nonga. ili tuone kama paul nonga alikuwa kwenye onside au offside position. Yawezekana unachosema kikawa ni kweli au si kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina tofaiti na Yondani alipocheza faulo aliyostahili kadi nyekundu lakini yule refa wenu akaamuru iwe penalty maana alijua yanga wakiwa pungufu wangeweza kupigwa zaidi ya goli 5.

Ila kwa nyie mlivyo lia lia mkaona mmeonewa
Kona ilitolewa kuwapoza wachezaji wa Lipuli maana walikuwa wakimuonesha refa kuwa goli limeingia ila hao refa na msaidizi iliwauma kukubali goli kirahisi wakaamua bila aibu eti ni kona!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina tofaiti na Yondani alipocheza faulo aliyostahili kadi nyekundu lakini yule refa wenu akaamuru iwe penalty maana alijua yanga wakiwa pungufu wangeweza kupigwa zaidi ya goli 5.

Ila kwa nyie mlivyo lia lia mkaona mmeonewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo refa akaona bora awape goli la penati tu japo faulo ilikuwa nje ya 18 kwavile yanga timu hatari sana wana uwezo kusawazisha hako kagoli kao kamoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmebebwa wazi wazi kabisa Lipuli 3,Yanga 2

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani mnatunga uongo kuepusha aibu ya upendeleo....Simba anabebwa Kila mchezo mpaka inatia kinya...goli la kagere dhidi ya namungo ni offside...goli la kusawazisha dhidi ya polisi ni offside clear...penalti dhidi ya yanga siyo halali. Mechi ile Wawa alistahili redcard kwa kumkanyaga nchimbi...halafu Simba mnahonga marefa Hadi mechi. Za yanga...mbeya city na yanga pale yanga alinyimwa penalti mbili....aliyosema kabwili ni kweli...mnahonga pia wachezaji wa timu pinzani
 
Back
Top Bottom