changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mkuu, tuwekee screenshot hapa. wakati mpira unapigwa kwenda kwa paul nonga. ili tuone kama paul nonga alikuwa kwenye onside au offside position. Yawezekana unachosema kikawa ni kweli au si kweli.Kuna goli lingine halali la lipuli limekataliwa, metacha hakufanyiwa foul na kaukosa mpira na paul nonga hakuwa offside.
Sent using Jamii Forums mobile app