changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Picha yako haioneshi clear mpira ulipo. Kazi ya V.A.R ni ku clear doubt kwa kuonesha tukio kwa ufasaha zaidi. Sasa wewe umegeuka kuwa V.A.R wetu basi tunaomba tuwekee picha iliyo clear zaidi inayoonesha mpira maana hiyo picha hata uvae miwani ya kukuza bado huoni mpira vizuri zaidi ya gloves tu za metacha. Tuoneshe mpira halafu weka kivuli upande wa goal line ili tuone huo mpira upo ndani au nje ya mstari. Karibu V.A.RMkuu Shadeeya Leo mnatafuta majibu ya kujibu lakini hampati pa kutokea, hasa mimi binafsi nilisema kuwa kuna wakati refa ni binadamu lakini mlikazania kubembwa ndo maana leo mmeumbuka [emoji23]
Maana yake mjifunze kuweka akiba ya maneno, Nugaz jana Wasafi radio aliongea kitu kizuri sana, kwamba yale hata kwao huenda yanatokea au yatatokea mbeleni.
Ok, mpira haukingia asilimia 100% Kona ya nini?View attachment 1348060
Sent using Jamii Forums mobile app