Updated 2024 GDP Projections. Major Economies in the Eastern Africa

Hilo Ni jibu bwana. We are an Economic Giant of East Africa and among The Top 4 in sub Saharan Africa.
Yet most of you skip the meals kutokana na hali ngumu ya maisha mlio nayo. Sawa Economic Giants
 
We ni muongo wew, akat Tz tulikuwa wa mwisho Africa tukiwa juu ya msumbiji akin sahv tupo top ten msumbij ndo wanalag behind ila tulikua nao top three inchi maskin africa
 
ndipo hapo mwenye akili hutulia kwanza.

kama kuongoza gdp ni jambo la msingi sana.wacha tuwe wa mwisho ukanda huu.

ila anayepokea mahindi ya msaada ndiye anaongoza kwa gdp kubwa.
 
You forgot one thing. the price of goods and services in Kenya is thrice as much as Tanzania.
 
You forgot one thing. the price of goods and services in Kenya is thrice as much as Tanzania.
 
It is impossible to fill a cup that’s full. Some of the arguments from the rising giants of Africa are just comical.
 
Tanzania akibaki magu tutafika $100bil
Magu ameikwamisha sana, ingepaswa iwe kwenye 80 huko saiv... Kikwete katuacha kwenye 58..saiv tuko 62... Wakat huo huo kenya alikua kwenye 60 ...saiv yuko kwenye 90 huko
 
Kwamba namba 2 ni ethiopia ??? Kwamba Kenya ana uchumi mkubwa kuliko Ethiopia ??

Alafu tokea lini Ethiopia akawa ni sehemu ya EA ?
 
Kwamba namba 2 ni ethiopia ??? Kwamba Kenya ana uchumi mkubwa kuliko Ethiopia ??

Alafu tokea lini Ethiopia akawa ni sehemu ya EA ?
Haya yote hujayajua? Kwani unaishi Nchi gani hiyo yenye giza hivyo? Ama Ni Tanzagiza?
 
Kwamba namba 2 ni ethiopia ??? Kwamba Kenya ana uchumi mkubwa kuliko Ethiopia ??

Alafu tokea lini Ethiopia akawa ni sehemu ya EA ?

Yes. 🤷🏾‍♂️ x 2

Eastern Africa, not East Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…