Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
- Thread starter
-
- #81
Magu ameikwamisha sana, ingepaswa iwe kwenye 80 huko saiv... Kikwete katuacha kwenye 58..saiv tuko 62... Wakat huo huo kenya alikua kwenye 60 ...saiv yuko kwenye 90 huko
Magu kachukua around 52bnMagu ameikwamisha sana, ingepaswa iwe kwenye 80 huko saiv... Kikwete katuacha kwenye 58..saiv tuko 62... Wakat huo huo kenya alikua kwenye 60 ...saiv yuko kwenye 90 huko
I seem not to get one point on gdp growth of kenya how are you expanding more than the % growth ..can you explain it ?You do have a point but I think the two economies are Very different. One has to consider the room for growth in our respective drivers, and I think the problem is the make up of your economy and not necessarily the rate of growth.
It is a very nuanced point.
I seem not to get one point on gdp growth of kenya how are you expanding more than the % growth ..can you explain it ?
Wewe kweli mpuumbafu unadhani Kenya GDP ni $90B !!? GQP ya Kenya nichini ya $68B tena $1bil iliyopo Tanzania inanguvu mara 3 ya $1bil iliyopo Kenya ,wakati wa kikwete $1bil iliyopo Kenya ilikuwa na nguvu mara 2 ya $1bil iliyopo Tanzania sasa tumia akili kutambua ni yupi kiongozi makini maana hata katika maisha ya kawaida MTU mwenye kipato kidogo kuliko cha kwako anaweza kuwa na matumizi bora yenye tija na akakuzidi kimaishaMagu ameikwamisha sana, ingepaswa iwe kwenye 80 huko saiv... Kikwete katuacha kwenye 58..saiv tuko 62... Wakat huo huo kenya alikua kwenye 60 ...saiv yuko kwenye 90 huko
Wewe kweli mpuumbafu unadhani Kenya GDP ni $90B !!? GQP ya Kenya nichini ya $68B tena $1bil iliyopo Tanzania inanguvu mara 3 ya $1bil iliyopo Kenya ,wakati wa kikwete $1bil iliyopo Kenya ilikuwa na nguvu mara 2 ya $1bil iliyopo Tanzania sasa tumia akili kutambua ni yupi kiongozi makini maana hata katika maisha ya kawaida MTU mwenye kipato kidogo kuliko cha kwako anaweza kuwa na matumizi bora yenye tija na akakuzidi kimaisha
Sawa mwerevuWewe kweli mpuumbafu unadhani Kenya GDP ni $90B !!? GQP ya Kenya nichini ya $68B tena $1bil iliyopo Tanzania inanguvu mara 3 ya $1bil iliyopo Kenya ,wakati wa kikwete $1bil iliyopo Kenya ilikuwa na nguvu mara 2 ya $1bil iliyopo Tanzania sasa tumia akili kutambua ni yupi kiongozi makini maana hata katika maisha ya kawaida MTU mwenye kipato kidogo kuliko cha kwako anaweza kuwa na matumizi bora yenye tija na akakuzidi kimaisha
Hivi unajua neno mwakani yaani 360 days za maumivu baada ya huu mwaka kuisha lazima wakenya mchanganikiwe maana hata sasa mnaiona serikali yenu mbaya Kwa sababu ya tz ,mnaiona sgr yenu mbaya Kwa sababu ya tz ,mnaiona airport yenu inamapungufu Kwa sababu ya tz,mnaiona viongozi wenu wachovu Kwa sababu ya tz ,mnaiona mpo nyuma kwenye usafiri wa uma wa mijini Kwa sababu ya tz brt ,mnaliona shirika lenu la ndege kuwa bovu Kwa sababu ya tz ,sasa hayo mambo mtazidi kuyaona hivyo zaidi mwakani kuliko ilivyo sasa na Kwa sababu hiyo sijui kama amja chinjana 2022Wewe bado nasubiri ile ahadi yako ya Tanzania kuipiku Kenya mwakani, zimesalia siku 25 bado tunakusklizia.
Ukweli Kikwete alikua ana kasi sana kwenye masuala ya ukuaji wa kiuchumi, mlikua mumeanza kunusia nusia nyuma yetu, ila leo hamna jipya zaidi ya makelele, tunelekea kuwa mara mbili yenu kuchumi.
Hivi unajua neno mwakani yaani 360 days za maumivu baada ya huu mwaka kuisha lazima wakenya mchanganikiwe maana hata sasa mnaiona serikali yenu mbaya Kwa sababu ya tz ,mnaiona sgr yenu mbaya Kwa sababu ya tz ,mnaiona airport yenu inamapungufu Kwa sababu ya tz,mnaiona viongozi wenu wachovu Kwa sababu ya tz ,mnaiona mpo nyuma kwenye usafiri wa uma wa mijini Kwa sababu ya tz brt ,mnaliona shirika lenu la ndege kuwa bovu Kwa sababu ya tz ,sasa hayo mambo mtazidi kuyaona hivyo zaidi mwakani kuliko ilivyo sasa na Kwa sababu hiyo sijui kama amja chinjana 2022
Bado haueleweki, bado nasubiri ahadi yako ya kuinusia Kenya, na sielewi tunaionaje SGR mbaya wakati sasa hivi tiketi za Disemba zimeisha, Wakenya wamezinyakua zote, nyie bado neno SGR hamfai kulitumia maana ya kwenu kasafu kadogo ka 200km kamekwamia maporini.
Tiketi zimeuzwa zote ndiyo ila 1)faida ya hizo tiketi ni ya mchina ,2) pia ikitokea hasara ni juu ya mkenya na 3) deni la sgr ni juu ya mkenya.stupid monkeyBado haueleweki, bado nasubiri ahadi yako ya kuinusia Kenya, na sielewi tunaionaje SGR mbaya wakati sasa hivi tiketi za Disemba zimeisha, Wakenya wamezinyakua zote, nyie bado neno SGR hamfai kulitumia maana ya kwenu kasafu kadogo ka 200km kamekwamia maporini.
Haaaa!!$1b ilikua na nguvu mara mbili wakati wa kikwete, wakati wa magu ina nguvu mara tatu[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kweli mpuumbafu unadhani Kenya GDP ni $90B !!? GQP ya Kenya nichini ya $68B tena $1bil iliyopo Tanzania inanguvu mara 3 ya $1bil iliyopo Kenya ,wakati wa kikwete $1bil iliyopo Kenya ilikuwa na nguvu mara 2 ya $1bil iliyopo Tanzania sasa tumia akili kutambua ni yupi kiongozi makini maana hata katika maisha ya kawaida MTU mwenye kipato kidogo kuliko cha kwako anaweza kuwa na matumizi bora yenye tija na akakuzidi kimaisha
25 days to go jomba la mwakaniTiketi zimeuzwa zote ndiyo ila 1)faida ya hizo tiketi ni ya mchina ,2) pia ikitokea hasara ni juu ya mkenya na 3) deni la sgr ni juu ya mkenya.stupid monkey
Soma tena usikulupuke arafu ujue Kenya $1bil inapoenda kufanya kazi inakuwa hiviHaaaa!!$1b ilikua na nguvu mara mbili wakati wa kikwete, wakati wa magu ina nguvu mara tatu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli magu kachukua akili zako wewe
Wakenya uwa wabishi sana zamani tuliwaambia vitu mkabisha hivi hivi ila mwisho wa siku mkaja kulia na kukubali ukweli mfano bomba LA mafuta na COW na mengine mengi sasa nashangaa kwanini ili la mwakani amlioni kwakuwa lipo wazi hadi serikali yenu inalijua ndiyo maana inaangaika na mambo ya BBI na kumtumia waziri wa tz kuja Kenya wewe unazani Kwa nini wasitumie wazungu kama kawaida yenu au hata waziri mwingine wa nchi Ila tz , sababu serikali ya Kenya imetambua kitu kuhusu yanayo endelea Tanzania yananguvu ya kuhukumu hatima ya Kenya katika u chumi na ukabila25 days to go jomba la mwakani
Usikulupuke arafu????Soma tena usikulupuke arafu ujue Kenya $1bil inapoenda kufanya kazi inakuwa hivi
$400mil inaenda Kwa mzungu au mchina au muhindi nk na $200mil inaenda Kwa wakikuyu ufisadi & $100mil inaenda kuliwa na mainjinia kifisadi only $300mil ndiyo inakwenda kwenyeshughuli usika so $1bil ni tz = $3bil in kenya