pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Nyuzi kama hizi huwa zinanifurahisha sana. Jirani zetu huwa wana allergy kali sana ya takwimu. Sanasana takwimu ambazo haziendelezi propaganda zao kwamba wao ni dona kantri na uchumi wao ndio imara kabisa barani Afrika.