Updated List: Haya ndio makabila yenye wasomi zaidi Tanzania

Baba zanzibar mama mombasa halaf tuna akili mpaka zinamwagika
Sisi kwetu wasiokua na akili basi ndio wanafanana na wewe
Usinitag kwenye mambo ya ajabu mdogo wangu 🀨

Imebidi nikutag maana hamjatajwa popote nyie wa huko ambao kazi yenu kuvaa mikanzu tu.
 
St Augustine na Bugando medical universities viko wapi kwani? Mpaka useme hamna chuo Mwanza?
 
St Augustine na Bugando medical universities viko wapi kwani? Mpaka useme hamna chuo Mwanza?
Ni vyuo vya kawaida bado, hivyo vyuo hata wifi tu unaweza usiikute, umeme ukikatika jenereta linawashwa kwa mbinde, Lecturers wanalipwa mishahara hata ya laki 9, huwezii fananisha na vinavyoendeshwa na government hasa vile vya juu
 
Ni vyuo vya kawaida bado, hivyo vyuo hata wifi tu unaweza usiikute, umeme ukikatika jenereta linawashwa kwa mbinde, Lecturers wanalipwa mishahara hata ya laki 9, huwezii fananisha na vinavyoendeshwa na government hasa vile vya juu
Kwani bugando si iko chini ya serikali na serikali pia ni muendeshaji
 
Ajabu...........na ndio yanaongoza kutoa viongozi wakuu wa nchi!
Sio ajabu,
Viongozi wa nchi hawachaguliwi kwa kuangaliwa IQ zao

Viongozi wakuu ukimwondoa Rais wengine wote wanateuliwa na Rais kama Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Jaji Mkuu, Majaji n.k

Unapaswa kutumia akili ndogo tu kujua hilo
 
Ni vyuo vya kawaida bado, hivyo vyuo hata wifi tu unaweza usiikute, umeme ukikatika jenereta linawashwa kwa mbinde, Lecturers wanalipwa mishahara hata ya laki 9, huwezii fananisha na vinavyoendeshwa na government hasa vile vya juu
Bugando University ulishafika lakini? Bugando yenyewe ilivo kwa sasa kwa miundombinu hata Mhimbili cha mtoto unaongea tu kama umekatwa kichwa!
SAUT ni chuo cha siku nyingi na kiko chini ya Kanisa Katoliki na wanamatawi kibao ndo Main Campus wakose!
Usitishwe na vyuo kuwa chini ya serkali,serkali yenyewe hii ya CCM!
 
Idadi unayoizungumzia ya shule za kata zilizotapakaa nchini wengi wao wanafeli sana form four na ndio mlango wa kuendelea mbele kielimu, Wachagga wanapeleka watoto wao shule za private na wengi wanafaulu form four na kuendelea mbele, bado takwimu kwa asilimia wanafunzi wa chuo wengi wao ni Wachagga ukilinganisha na makabila mengine
 
Sawa ila kumbuka asilimia kubwa ya Wachagga wapo mikoa mbalimbali. Na pia una data yeyote inayoonesha Kagera inapeleka wanafunzi wengi advance kuliko Kilimanjaro, shule zinazofaulisha form four nyingi ni za Private ambazo zipo nyingi mkoa wa Kilimanjaro zaidi ya Kagera. Form six ndio hata shule za serikali zinafaulisha wengi ila sio form four, wengi wa hizo shule zata wanapata division 0 na 4 kwenye mitihani ya form four, na ushahidi zaidi cheki matokeo ya form two mwaka jana yaliyotoka hii January na pia subiri matokeo ya form four yatoke uone shule za serikali.
 
KWENYE HII THREAD LAZIMA WAHAYA WAGOME
 
Wachagga ni overratted tu hakuna la maana kubwa kuliko sehemu nyingine ya tz mm nipo rombo watu ni walevi sana
 
Ondoa wasukuma wawele list ya ngumbaru na memmkwa
 
Wachagga ni overratted tu hakuna la maana kubwa kuliko sehemu nyingine ya tz mm nipo rombo watu ni walevi sana
Still kweney success rate kielimu na kiuchumi wachaga wako juu hata fraction ya warombo wakiwa walevi! Kajilinganishe kwenu wasio walevi na wachaga mko level moja?!!
 
Still kweney success rate kielimu na kiuchumi wachaga wako juu hata fraction ya warombo wakiwa walevi! Kajilinganishe kwenu wasio walevi na wachaga mko level moja?!!
Mbona wahaya na wanyakyusa kichwani weupe tuu, vyuona wanakula supps , carry over na ku Disco vyuo kama Wanafunzi mabila mengine, pia ukiangalia wingi wa Wanafunzi vyuo vikuu WASUKUMA ni wengi sana hasa UDSM NA UDOM Wachaga wanafuatia, ukienda UDSM na Udom utakuta katika Kila chumba kimoja chenye wanachuo wanne mmoja ni msukuma, tatizo wasukuma linalowakumba wasukuma ni katika harakati za uhuru ambapo walitaka kisukuma kiwe lugha ya Taifa, pia Waingereza walikuwa hawamtaki Nyerere na badala yake walimtaka Chief Makwaia awe waziri mkuu wa Tanganyika, pia wasukuma ni watu wenye umoja sana katika kutatua matatizo Yao kupitia Sungusungu na wanasheria zao za kimila na yeyote anayevunja hizo Sheria zao hukumbana adhabu na fine Kali. Kwa hiyo serikali haikutoa kipaumbele kwa wasukuma kujengwa vyuo vikuu na mirado mingi ya serikali na badala yake vyuo vilijengwa Dsm, Morogoro Mbeya na Arusha. Mkapa ndo alianza kwa kuwakumbuka akajenga mradi wa kwanza kwa wasukuma wa maji Kutoka ziwa Victoria to shinyanga na Tabora, kikwete akaimega mega mikoa yote Mwanza na shinyanga na ikazaliwa mikoa ya Geita na Simiyu na ili kusogeza huduma karibu kwa wananchi baadae ikaunganishwa kwa mtandao wa barabara za lami ili kurahisisha shughuli za maendeleo, Magufuli akajenga daraja la busisi, Kajenga Meli ziwa Victoria baada kukosekana kwa muda mrefu tangu Mv Victoria izame majini .kimsingi wasukuma wanahitaji pongezi nyingi sana ndani ya miaka kumi ijayo watakuwa na majiji matatu yaani Jiji la mwanza, Jiji la Geita na Jiji la kahama baada ya manispaa ya shinyanga na manispaa ya kahama kuunishwa baada TU SGR itakapoanza kufanya kazi kwa kipande cha Dodoma, Tabora, isaka shinyanga na Mwanza maana watu watanza kujengwa Kutoka isaka kwenda shinyanga.
 
Mkuu umeandika mengi kwanza hamna watu wenye privilege ya kuwa na akili isopokuwa determination ya kutafuta. Kuhusu wasukuma kuwa wengi dadasani ni uongo nakumbuka kwenye kozi yetu UDSM
wahaya
Wachaga
Wanyakyusa
Walikuwa 70 au80% tuliobaki tunahesabika i assume kwenye kozi zingine hali ni hii hii hamna shule au chup wasukuma waliwah kuwa majority
 
Hizo data ulizotoa nadhani ni kabla ya 2012 kurudi nyumba ambapo mtu Kutoka ikungulyabashashi au bugayambelele kufaul mtihani wa fm 4 ilikuwa ni ngum sana, kumbuka so kumwona chuo kikukuu ilikuwa ni bahati sna .tofauti na Wanafunzi Kutoka Kagera Mbeya na Kilimanjaro ambao walisoma shule za FBO na seminar walikuwa wengi sana. Mwanza na shinyanga au Geita before kupata hata nafasi ya kwenda kusoma shule za seminar ilikuwa ni ngumu sana kwa sababu hizo semina zilikuwa china ya wahaya na wchaga ambao walikuwa wanatoa nafasi kwa Ndgu zao.
Now days mambo yamebadirika
 
Sijui
Sijui una maanisha ni kusema serikali haikujenga vyuo usukumani kwani morogoro vyuo walijengewa waluguru? Na dar walijengewa wazaramo?? Poor argument. Alaf Arusha Sijui chuo gani serikali iliwahi jenga labda ufafanue mimi natoka Arusha nafikir Arusha hamna chuo kikuu cha serikali hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…