Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
dahh uefa pumbafu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia Aleix Vidal atakuwepo? Atachezaje timu mbili ligi moja?
Kwani amechezea timu gani nyingine msimu huu? Huyu ni yule aliyesajiliwa kutoka Seville ila hajaweza kucheza kutokana na adhabu ya FIFA iliyowazuia Barcelona kuchezesha wachezaji iliyowasajili kwenye dirisha la usajili lililopita ambayo inamalizika December 2015.
[h=2]Draw in full[/h]Gent v Wolfsburg
Roma v Real Madrid
Paris St-Germain v Chelsea
Arsenal v Barcelona
Juventus v Bayern Munich
PSV Eindhoven v Atletico Madrid
Benfica v Zenit St Petersburg
Dynamo Kiev v Manchester City