Updates: Champion league draw from Nyon.

Updates: Champion league draw from Nyon.

Msimu mitatu mfululizo chelsea na psg mwaka huu cjui
 
Mwaka huu naona kama Barca apindui kwa Arsenol..labda Neymarh afanye kama alivyofanya Messi .....Van Parsie akila red card
 
Nani kakwambia Aleix Vidal atakuwepo? Atachezaje timu mbili ligi moja?

Kwani amechezea timu gani nyingine msimu huu? Huyu ni yule aliyesajiliwa kutoka Seville ila hajaweza kucheza kutokana na adhabu ya FIFA iliyowazuia Barcelona kuchezesha wachezaji iliyowasajili kwenye dirisha la usajili lililopita ambayo inamalizika December 2015.
 
Mwelekeze huyo.
 
[h=2]Draw in full[/h]Gent v Wolfsburg
Roma v Real Madrid
Paris St-Germain v Chelsea
Arsenal v Barcelona
Juventus v Bayern Munich
PSV Eindhoven v Atletico Madrid
Benfica v Zenit St Petersburg
Dynamo Kiev v Manchester City

altetico ,man cty tayari wamisha ingia robo
 
Back
Top Bottom