Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Ni heli huyo klk wale wakununua na kujaza sebleni, kisa walizinyofoa kwa mkasi, ili watese ujana,
 
Huyo ndo mganda aliekula ndizi na nyama za ngombe za nyakole,
 
Angejifungua kwanza ndo wakaanza drama kama walivyofanya kwa tiffah,labor sio kitu cha kufanyia matangazo dunia nzima......kwa normal delivery sio rahisi kujua ni lini au sa ngpi mtoto atatoka ni Mungu ndiye anayeamua cha muhimu waga ni sala na dua mbele za Mungu kuanzia moyoni nasio mdomoni na mitandaoni,sasa akili yote inawaza social media kuwapa updates fans wako,mara photo shoot aisee wawe serious
 
Kila la kheri mama Chibu,endelea kumpa zawadi alizozitafuta baba Tifah kwa akina dada wengi bila mafanikio.Mungu akijaalia ukajifungua salama ujiandae tena kushika ujauzito wa tatu smbao bila shaka utakua wa mwisho.Kila la kheri Mungu akuepushe na matatizo yoyote yanayoweza kuambatana na harakati zako za kujifungua.
 
mtoto wa zinaa huyo ndo anasubiriwa...
uwezo wa kufunga ndoa wanao ila sheitwan kawatawala vichwan huku wakiendelea kufyatua watoto wa haramu...

Diamond na Zurina kwanini hawafungi ndoa na uwezo wanao?
 
Angejifungua kwanza ndo wakaanza drama kama walivyofanya kwa tiffah,labor sio kitu cha kufanyia matangazo dunia nzima......kwa normal delivery sio rahisi kujua ni lini au sa ngpi mtoto atatoka ni Mungu ndiye anayeamua cha muhimu waga ni sala na dua mbele za Mungu kuanzia moyoni nasio mdomoni na mitandaoni,sasa akili yote inawaza social media kuwapa updates fans wako,mara photo shoot aisee wawe serious
yaaan mungu hachezewi wenzake tunamuombeaa yeyemwenzetu ana jiselfie huko labour hivi akiwa bahati mbaya itakuwaje watapost kweli??
 
mtoto wa zinaa huyo ndo anasubiriwa...
uwezo wa kufunga ndoa wanao ila sheitwan kawatawala vichwan huku wakiendelea kufyatua watoto wa haramu...

Diamond na Zurina kwanini hawafungi ndoa na uwezo wanao?

Hakika wafanyayo si vyema kama kweli hawajafunga ndoa, lakini kuna ewezekano wamefunga ndoa kisiri.

Siamini kama Waislam wanaweza kufanya hivyo na kama wanafanya basi na wao kwa wazazi wote wawili inawezekana kabisa kuwa ni watoto wa zinaa na hawana soni.
 
Sijui atasukuma au atafanyiwa upasuaji!
Siku hizi wanawake wengi wanaomba kufanyiwa upasuaji atolewe mtoto, eti hawataki kuzaa kwa kupitia K zao. halafu anakuwa tayari amefanyiwa ultrasound anajua atazaa mtoto wa jinsi ipi:
Bila aibu utamsikia anasema " JUMATANO NATEGEMEA KUPATA BABY GIRL"
utandawazi utandawazi
utandawazi ni tabia ya kishenzi sana!
sikuhizi kumeibuka wajawazito kupiga picha za uchi..
wajawazito wamekua hawana adabu kabisa!!
wanakaa uchi mitandaoni ,wanafanya hayo mababy shower sijui..
mtu yuko na mkwewe na wazazi anakaa uchi tu! tabia gani hizi jamani!!

zamani ilikua mwiko kufanya sherehe kununua nguo za mtoto kabla hujazaa mwiko!
mjamzito anakua na adabu kabisa

dunia ya sasa hapana!
 
Back
Top Bottom