We hujui kitu wewe, hawa wanajuana balaa, kumbe huwajui eee, kalagabahoHe! Mshana jr kakukosea nini hadi kumtolea lugha kali namna hiyo
FyuuuuuuuuuuKisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Dua zetu kwake mamaa chibu junior##@Moja kwa moja kutoka Pritoria tupo hapa nje tunamsubir Chibu junior. Tumuombe MUNGU ATOKE SALAMA ..
MUNGU AWABARIKI MAMA NA MTOTO.
Kaka mshana muache atumalizie mmoja bhanaa##@Kisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
hahhahahahahaha jaman sio kwa chambo hiliMama'ko angekuwa nao usingezaliwa kwa kisu.
Hasidi mkubwa wee.
Mshirikina utamjuwa tu kwa kauli zake za uhasidi.
yaaan mungu hachezewi wenzake tunamuombeaa yeyemwenzetu ana jiselfie huko labour hivi akiwa bahati mbaya itakuwaje watapost kweli??Angejifungua kwanza ndo wakaanza drama kama walivyofanya kwa tiffah,labor sio kitu cha kufanyia matangazo dunia nzima......kwa normal delivery sio rahisi kujua ni lini au sa ngpi mtoto atatoka ni Mungu ndiye anayeamua cha muhimu waga ni sala na dua mbele za Mungu kuanzia moyoni nasio mdomoni na mitandaoni,sasa akili yote inawaza social media kuwapa updates fans wako,mara photo shoot aisee wawe serious
Kwa sheria ya kiislam mpaka sasa diamond hana mtoto Kwa kuwa hawana ndoa
FaizaFoxy
mtoto wa zinaa huyo ndo anasubiriwa...
uwezo wa kufunga ndoa wanao ila sheitwan kawatawala vichwan huku wakiendelea kufyatua watoto wa haramu...
Diamond na Zurina kwanini hawafungi ndoa na uwezo wanao?
utandawazi ni tabia ya kishenzi sana!Sijui atasukuma au atafanyiwa upasuaji!
Siku hizi wanawake wengi wanaomba kufanyiwa upasuaji atolewe mtoto, eti hawataki kuzaa kwa kupitia K zao. halafu anakuwa tayari amefanyiwa ultrasound anajua atazaa mtoto wa jinsi ipi:
Bila aibu utamsikia anasema " JUMATANO NATEGEMEA KUPATA BABY GIRL"
utandawazi utandawazi
Mkuu Futa hiyo kauli Kila kitu tumkabidhi Mungu.yaaan mungu hachezewi wenzake tunamuombeaa yeyemwenzetu ana jiselfie huko labour hivi akiwa bahati mbaya itakuwaje watapost kweli??
hakuna shida mpunga si upo acha wafike 12Kisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Juzijuzi kamzaa Tiffany Leo tena yuko wodini? Kwani ana watoto wangapi???Kisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii