Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Watanzania kwa unafiki tunaweza kuongoza, unaweza kukuta wewe ni wa 6 au wa 7 kuzaliwa kwenu, hujawahi kumshangaa mama yako ila zari kuzaa mtoto wa 5 mnaona ajabu. Mungu anatuona.
Kweli
Wamuache azae,na uchumi wake unamruhusu pia
 
Waoane mara mbili?
Ndoa ya kimya kimya duh,sijui kwa upande mwingine ila kwa dini yangu huwa lazma watangaze kanisani,ili kama kuna mwenye kipingamizi aseme mapemaaa yote ni kuongeza uhalali wa hiyo ndoa,I think hata bomani wanawekaga tangazo am not sure though
 
Jipe pole mwenyewe tu miminsina tatizo ni nyie na roho mbaya zenu ...leo ndo mnajua kua watu wanatakiwa wawape sapoti watoto wao na sio wa diamond
Mahaba yamekuzidi sio makosa yako[emoji113]
 
Jamani namie nipeni pongezi kwani my wife naye kajifungua ila huku tarime hua hawaendi hosp so ilikua Leo saa sita akiwa shambani........
Hongera santuuu kwa kupata baby
 
Ile ni incubator bro... Chibu atashindwa yeye kuendelea kuzalisha, yule mdada naweza sema ana asili ya kwetu Giningi maana sisi mwenye wachache basi ni 8
hahahahahahaaa eti incubtor!! watu mna maneno!!πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Hongera kwao,..ila bibie kwa kutaga nomaa...siku akizaa na kisu nadhani atafunga mirija..ukizaa natural complications ni chache.,
 
Hahaha povu nilitoe wapi hahahha
nimejibu hoja kwa hoja hapo
hizo ni chuki za wazi ...unawezaje kuish maisha haya kwa kumchukia hata kiumbe kisicho na hatia dduh kama mtoto mchanga..duuh pole mwana
Mkuu Naona Upo Kazini Je wako tutamuona Lini au Ndio unakunywa maji Kwanzaa wingi
 
WADADA WA KIBONGO NA WANAUME WENGI HAWAJITAMBUI SASA MLITAKA HUYO KIJANA AWAZALISHE NINYI ? ACHEN UNAFiK KWENYE MAISHA YA WENZENU
 
Mdogo wa tiffah
 

Attachments

  • 1481048591856.jpg
    8 KB · Views: 76
  • 1481048608440.jpg
    15.9 KB · Views: 53
Official account ya prince wa tandale kwa madiba
 

Attachments

  • 1481048854725.png
    34.4 KB · Views: 42
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…