Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
KweliWatanzania kwa unafiki tunaweza kuongoza, unaweza kukuta wewe ni wa 6 au wa 7 kuzaliwa kwenu, hujawahi kumshangaa mama yako ila zari kuzaa mtoto wa 5 mnaona ajabu. Mungu anatuona.
Wamuache azae,na uchumi wake unamruhusu pia