Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Wanafyatua tu!!!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu ndio mwanamke wa Kiafrika ,sio unazaa kitoto kimoja oh eti kwenda na wakati

Kitoto hicho hicho shetani anamuangalia na Mungu pia
acha ukale ww kuzaa ni mipango sio unzaa unaanza kwenda kuwapanga watoto kwenye mataa kuomba misaada dhambi zake unazijuaa lakin??
 
Back
Top Bottom