Mbona nyie kwenu mpo zaidi ya sita tena kwa mama mmoja na mama ako ajafunga kizazi mbona mke wng beckham pamoja na uzungu na ajafunga kizazi mwache azaeKisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
walaa hana muda huo anaona kawaida anatua mizigo kama mizigo mingineatakua anatumia epidural si kwa uchungu wa kawaida
kwan beckam ndo nani na ww??kwa hiyo akifunga na www unafunga??Mbona nyie kwenu mpo zaidi ya sita tena kwa mama mmoja na mama ako ajafunga kizazi mbona mke wng beckham pamoja na uzungu na ajafunga kizazi mwache azae
Unafikiria kila mtu anaishi maisha unayoishi wewe sio ?acha ukale ww kuzaa ni mipango sio unzaa unaanza kwenda kuwapanga watoto kwenye mataa kuomba misaada dhambi zake unazijuaa lakin??
bora useme wwKwa visebengo msiojua huyu Regrann Atakua Ni msouth kabisa ili Iwe rahisi kuangalia Mali za Baba yake
Haahaaaaa, wewe nae umenichekesha, kama haikupendezi si unaweza kumfunga wewe kitaalam mkuu?!Kisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
vipi tena mbona povu?Kwa visebengo msiojua huyu Regrann Atakua Ni msouth kabisa ili Iwe rahisi kuangalia Mali za Baba yake
Mwache ajaze dunia,aepuke na magonjwa mengine ya nzao chacheKisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Muulize wemaKisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Inakuwaje hiyoatakua anatumia epidural si kwa uchungu wa kawaida
Acha uroporopo dogoIle ni incubator bro... Chibu atashindwa yeye kuendelea kuzalisha, yule mdada naweza sema ana asili ya kwetu Giningi maana sisi mwenye wachache basi ni 8