Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Hongera zake sana tho hyo picha sio ya mtt wake
 
Hongera zari,hongera platanzania hongera WCB-wasafi amepatikana msafi.
Una uhakika huyu ni mtoto wa Diamond? Au kisa umeona Aunt Ezekiel amepost na wewe ukaamua uje huku haraka haraka upost? Angalia hii post hapa chini ya mke wa dancer wa Diamond ya tarehe 2 September 2014. Huyo ni mtoto wa dancer wa Diamond.
 
Dah yule dada anaesingiziaga mimba imetoka coz of mawazo sijui atakuja na kick ipi tena
 
Hatua mojawapo mana ndoa nyng zinafarakan kisa toto conguturation. @chebu dagote
 
Jamaa anatoa kopi.. cute bby
 
Huyu mtoto wa nani?!

Dimond au yule mganda?!

Mambo ya kushinda kwenye mitandao kumtetea mbele ya Waganda kama mwaka ule sisi hatutaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…