Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Yaani ndio ujue huyu mtu ni Superstar, mpaka sasa uzi huu una VIEWS 4,709 na COMMENTS 106 !!!!!

Baada ya kujifungu utaona VIEWS zitakavyoonekana kukua kwa kasi.
 
Zaaaa mama kitendee haki kizaz ulichopewaa
 
Kisha afunge kizazi sasa loh! Hobby gani hii
Acha wanga mkuu!
Tumeaswa tuzaliane ili tuujaze ulimwengu!

Mama chibu, kiumbe tutakipokea kwa roho safi! bado tena na tena na tena mpaka mayai yaishe!!!
 
Zoezi analopiga Zari akiwa mjamzito sio la kawaida sio kama wanawake wa kibongo akibeba mimba tu utadhani kaparalise anadai kama Tanesco au TRA. Mtu anajilegeza kama kashindia supu ya bamia kwa nini viungo vidikakamae kama unakula cement uchungu lazima ukufanye uzae mmoja tu
 
Dayuum!

How many kids she got?

By the look of things she must have some really good punani.

She keeps popping them babies and niggaz keep going right back in it😀.

Shoot them up style.
Itakua ni mnato,halafu msafi muda wrote, na like guu linawezengue waweza Dhabi hajazaa

mshana jr
 
Hongera Baba & Mama Chibu. Ila msimtenge MADAM wetu, hajapenda kuwa vile.
 
Dah wanamke wa kiganda wanazaa kama ngombe. Kila mwaka yeye kuzaa tu
 
Mbona nyie kwenu mpo zaidi ya sita tena kwa mama mmoja na mama ako ajafunga kizazi mbona mke wng beckham pamoja na uzungu na ajafunga kizazi mwache azae
Hatuzungumzii kwetu wala mama yangu kwakuwa habari zetu hazijawahi kuwekwa hapa! Naomba usirudie tena kumtaja mzazi wangu hapa kwenye ishu asiyoijua wala kuhusika nayo
 
Back
Top Bottom