Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Haahaaaaa, wewe nae umenichekesha, kama haikupendezi si unaweza kumfunga wewe kitaalam mkuu?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] nitafanya kwa maombi si kwa utashi binafsi
 
Acha wanga mkuu!
Tumeaswa tuzaliane ili tuujaze ulimwengu!

Mama chibu, kiumbe tutakipokea kwa roho safi! bado tena na tena na tena mpaka mayai yaishe!!!
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Itakua ni mnato,halafu msafi muda wrote, na like guu linawezengue waweza Dhabi hajazaa

mshana jr
[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji87] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji7] [emoji7]
 
Zamani tulikuwa tunaambiwa Diamond ni freemasons, na ukiwa member wa freemasons huwezi/huruhusiwi kupata mtoto. Sasa mpaka leo najiuliza Jay Z ni freemasons ana watoto, Chrisbrown nk
[emoji117] Hongera Zaribosslady na Diamond Platnumz kwa kupata mtoto.
-*Raha sana kuwa na watoto wengi, mfano ukiwa na watoto 10 akafariki mmoja basi angalau hakuna ubaya wamebaki 9. Kuliko kuwa na mtoto mmoja au wawili ukapoteza mtoto mmoja utabaki na majonzi na masikitiko sana kwa maisha yote mpaka kifo.
wazo zuri, je wote wakiwa majambazi au mashoga au malaya au unemployed au wajinga hawataki kujtuma? ila Malezi Fumbo Gumu
 
Hatuzungumzii kwetu wala mama yangu kwakuwa habari zetu hazijawahi kuwekwa hapa! Naomba usirudie tena kumtaja mzazi wangu hapa kwenye ishu asiyoijua wala kuhusika nayo
Bro Hajui Kuwa Rasta Nyoka Rafiki Yako, ngoja niwe mpatanishi msamehe buree mkuu
 
Zamani tulikuwa tunaambiwa Diamond ni freemasons, na ukiwa member wa freemasons huwezi/huruhusiwi kupata mtoto. Sasa mpaka leo najiuliza Jay Z ni freemasons ana watoto, Chrisbrown nk
[emoji117] Hongera Zaribosslady na Diamond Platnumz kwa kupata mtoto.
-*Raha sana kuwa na watoto wengi, mfano ukiwa na watoto 10 akafariki mmoja basi angalau hakuna ubaya wamebaki 9. Kuliko kuwa na mtoto mmoja au wawili ukapoteza mtoto mmoja utabaki na majonzi na masikitiko sana kwa maisha yote mpaka kifo.
Kuwa nao ni raha ila kuwafikisha sasa ni mzikii
 
Eeeh Mola mjaalie Mama Tiffah uzazi salama ,

Ajifungue salama salmini duaa zetu zipokee Eeeh Mwenyezi....Amiin.
 
Back
Top Bottom