Updates: Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa Taifa

Updates: Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa Taifa

Screenshot_2024-01-12-15-06-43-1.png
 
Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao.

Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM.

Ni makao makuu mapya na yanayoendana na ukubwa wa chama hiki chenye mvuto kwa mamilioni ya Watanzania.

Ni makao makuu mapya yanayoonesha uongozi thabiti na mahiri wa mwanamapinduzi Freeman Mbowe ambaye uongozi wake unahitajika bado kwa miaka mingi ijayo ndani ya chama hiki kinachokiweka roho juu CCM.

Sisi wa Molemo Media tutakuwa Mubashara kuwaletea kila kitakachojiri.

Karibuni sana....

Updates....
Hali ilivyo sasa Makao Makuu Saa 5.30 asubuhi

Kwa muda huu hapa Makao makuu Mikocheni kumefurika umati mkubwa wa wanachama hususan kutoka Kanda hii ya Pwani pamoja na viongozi mbalimbali wa ngazi zote.Pia kuna idadi kubwa ya wanahabari wa vyombo vyote

Maandalizi yote muhimu yamekamilika na kilichobaki na kumsubiri Mwenyekiti Freeman Mbowe na viongozi wenzake wakuu wa chama.
Picha?!
 
Tukutane barabarani
 
Attachments

  • IMG-20240113-WA0127.jpg
    IMG-20240113-WA0127.jpg
    203.8 KB · Views: 3
.Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM.

Ni makao makuu mapya na yanayoendana na ukubwa wa chama hiki chenye mvuto kwa mamilioni ya Watanzania.

Ni makao makuu mapya yanayoonesha uongozi thabiti na mahiri wa mwanamapinduzi Freeman Mbowe ambaye uongozi wake unahitajika bado kwa miaka mingi ijayo ndani ya chama hiki kinachokiweka roho juu CCM.
Mkuu Molemo, nakukumbusha tuu kumbe wewe ni muongo!. Siku ile uliponiponza nikala ban, ubishi ulikuwa hiyo ofisi yenu ya Ufipa kuwa ni nyumba ya kupanga, ukajitutumua kuwa Chadema wamepanunua kumbe ni uongo, ile ni nyumba ya kupanga mpaka kesho na Baba mwenye nyumba nimetajiwa!.

Sasa leo umekuja na makidai kuhusu ofisi mpya ya Chadema Mikocheni!, kumbe ni nyumba ya kupanga!, na baba mwenye nyumba nimetajiwa na kodi ya pango pia imetajwa!. Kiukweli kama hii Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni ni kweli, then Chadema needs their heads seriously be examined!.
p
 
Back
Top Bottom