Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole

Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole

Aisee kwa hapa tulipofika kma kuna mtu ambaye bado anaamini hii serikali inasingiziwa kuhusu matukio ya haya ya kihalifu, basi mtu huyo bora afe tu akazaliwe hata malawi labda atakuwa na akili.

Hii serikali na vyombo vyake vya dola ni adui namba moja wa ordinary citizens.
 
09 October 2025

Nimepata samasi / summons iliyotoka jeshi la polisi na kufika nyumbani kwetu Augustino Polepole

Jeshi la police Tanzania lamtaka Augustino Polepole kwa kumtaja afisa wa police aliye mkuu wa upelelezi kanda maal (ZCO)Dar es Salaam afande Mafwele.. Augustino Polepole alipokuwa anatoa taarifa za kutekwa Humphrey Polepole kwa umma wa watanzania na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla wake

Soma Pia: Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

Augustino Polepole anasema sasa atakuja na undani / details kuhusu jinsi jeshi la polisi walivyomkamata Humphrey Polepole, wapi ameumizwa na wapi alipo kwa hivi sasa Humphrey Polepole ...

Naona watamwachia wenyewe kwa aibu maana tangu akamatwe hata famili haina waswasibsaana wanafuatilia tuu ile chipu inaonyesha kilakitu na alipo
 
NAULIZA TU WAZALENDO WAISLAMU WAPO WAPI 😁😁😁😁SI TULIAMBIWA WAO NDIYO WALIKUWA MSTARI WA MBELE KUPIGANIA UHURU NA HAKI NCHI 😁😁😁😁💩💩💩💩💩
GENIUS HUWA SIBAHATISHI KWA NINACHO SEMAGA ...Nilipo waambia watz hapa JF na Chadema walipinga na awakuweza kunielewa ...niliwaambia kuwa SAMIA ANAMCHUKIA NYERERE NA KARUME KULIKO JPM .....Hii dhana imebeba siri ya yote yanayo endelea sasa ....kwa hii siri utajua samia ni nani na walio nyuma yake ni kina nani? adriz The Consigliere FaizaFoxy Malaria 2 Al-mukheef The Icebreaker Covax Jagina
 
Kuna kitu cha msingi sana ameongea Augustino Polepole.

Kimsingi tatizo ni kwamba Tanzania hakuna chombo cha kuwasimamia Polisi.

Polisi wakifanya makosa, kabla ya kufika mahakamani, kunatakiwa kuwepo na chombo cha kusimamia Polisi wanavyofanya kazi.

Kuna mifano ya nchi nyingi wana vyombo hivi, mfano miwili ni Canada na hata karibu tu hapo Kenya.

Ndiyo maana Watanzania wanaweza kuwashangaa Polisi wa Kenya kwa nini wanakuwa na adabu sana mbele ya waandamanaji, kwa namna ambayo Polisi wa Tanzania hawana adabu hizo.

Kumbe kuna suala la systemic accountability.
Licha ya kuwa na hicho chombo cha kuwasimamia polisi; polisi hao hao wanachukua 'cue' toka kwa watawala wanao walinda.
Kama Samia angekuwa hataki maswala ya namna hiyo yatokee, yasinge tokea. Polisi wanamfanyia kazi Samia na Genge lake; kwa hiyo lawama iende moja kwa moja kwa hao wanaolitumia vibaya jeshi la polisi.
 
Anasubiri nini kumwaga ushahidi wazi tujionee?

Asichelewe hao washenzi kwa sasa wameshajitoa akili anaweza kuvamiwa hata na yeye wapoteze ushahidi , maadam kama anao ushahidi wa kieletroniki kama anavyosema ambao ndio hao wahuni waliukwepa kwa kupiga risasi CCTV autoe mapema atakuwa amewaacha njia panda .

Pia asije akaenda huko polisi pekeyake.
 
niliwaambia kuwa SAMIA ANAMCHUKIA NYERERE NA KARUME KULIKO JPM .....Hii dhana imebeba siri ya yote yanayo endelea sasa ....kwa hii siri utajua samia ni nani na walio nyuma yake ni kina nani?
Mimi nitakuunga mkono kwenye kipande hiki cha maoni yako; hayo mengine ya "Waislam (wote?)", siyajui.

Mimi nasema hivi; Samia na Kikwete walichukizwa sana na aliyosimamia Mwalimu Nyerere. Kikwete ni mtu wa Kariakoo; anaamini yanayofundishwa kwenye chuo cha Kariako na yule mzee wa historia ya wazee wake.
Samia hajawahi kuamini chochote ndani ya CCM. Kama alivyo Kikwete, ni 'opportunist'; kama alivyokuwa mwenzake Kikwete. Sura sahihi inayo mweleza Samia ni lile kundi la machotara wa kiarabu.

Lakini hili umelileta hapa, na litaharibu mjadala wa mada husika, ambayo ni muhimu zaidi kwa sasa.
 
anaewaogopa polisi ni mwendawazimu tu wavaa kaki wanakutishaje sasa?? Lbd aje na mtutu ila physically hawezi atakula ndoige zakutosha
Na nadhani hawa polisi wanaozidi kutajwa tajwa kwa maovu hivi, na wengine kujionyesha kuwa nadharau kubwa na kukosa ubinaadam kabisa wanapoongelea maswala haya, watu wataanza kujiuliza kama wao hawana miili inayoweza kuvuja damu!
 
Anasubiri nini kumwaga ushahidi wazi tujionee?

Asichelewe hao washenzi kwa sasa wameshajitoa akili anaweza kuvamiwa hata na yeye wapoteze ushahidi , maadam kama anao ushahidi wa kieletroniki kama anavyosema ambao ndio hao wahuni waliukwepa kwa kupiga risasi CCTV autoe mapema atakuwa amewaacha njia panda .

Pia asije akaenda huko polisi pekeyake.
Mimi mpaka ananiudhi. Awake huo ushahidi hadharani kwasababu wanaweza kumshikilia juma asipate fursa ya kusema.
 
Na nadhani hawa polisi wanaozidi kutajwa tajwa kwa maovu hivi, na wengine kujionyesha kuwa nadharau kubwa na kukosa ubinaadam kabisa wanapoongelea maswala haya, watu wataanza kujiuliza kama wao hawana miili inayoweza kuvuja damu!
Kuogopa mtu kisa kacheo ni upungufu wa akili
 
Angejikita zaidi katika kumuongelea Polepole kuingiza suala la LISSU inacompromise kabisa lengo la msingi....
Nafikiri ni katika kuonesha, waliompiga risasi Lissu ndiyo hao hao waliomteka Pele pole. Pia kimkakati ni kuunganisha watu wote, kwa kuwa hakuna aliye salama.
 
Back
Top Bottom