Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Kama mpo mbona amuwapingi kwa nguvu hao mashekh wenu ? Wewe ni mmoja wapo wa wale mliodanganyika na porojo za mashekh kuwawao ni Wazalendo ila kwa sasa mnashangaa mashekh kuwa kinyume na hoja zao soma nilicho andika kuna aina mbili za waislamu wadanganya na wadanganyika wewe upo kwenye kundi la wadanganyika hivyo utajifunza kwa vitendo hadi utakili kuwa hao mashekh wenu ni takataka kama walivyo tajwa ndani ya uislamu kuwa ni uchafu wa mizoga ya baharini (povu la bahari)Wewe na huyo Lwiva wenu acheni upumbavu wa kuwasema waisalmu wote hali yakuwa tupo waislamu tusiounga mkono ushenzi unaofanywa na Samia na magenge yake ya utekaji na uuaji.
Unamshangaa Alhadi mussa kwani hujui ni chawa wa serikali kabla hata ya Samia kuwa rais.
Huyo shee mpumvavu wa bakwata hata wakati wa Magu alimuumga mkono na hakuwai kumpinga.
Mnapokuja na kuanza kupakazia waislamu wote uongo haipendezi.
Tupo waislamu tena ni wengi sana hatuungi mkono yanayoendelea.
Lwiva.