JK kumbe na RostamUnahojiwa na unaemtumumu?.
Naona watamwachia wenyewe kwa aibu maana tangu akamatwe hata famili haina waswasibsaana wanafuatilia tuu ile chipu inaonyesha kilakitu na alipo09 October 2025
Nimepata samasi / summons iliyotoka jeshi la polisi na kufika nyumbani kwetu Augustino Polepole
Jeshi la police Tanzania lamtaka Augustino Polepole kwa kumtaja afisa wa police aliye mkuu wa upelelezi kanda maal (ZCO)Dar es Salaam afande Mafwele.. Augustino Polepole alipokuwa anatoa taarifa za kutekwa Humphrey Polepole kwa umma wa watanzania na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla wake
Soma Pia: Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele
Augustino Polepole anasema sasa atakuja na undani / details kuhusu jinsi jeshi la polisi walivyomkamata Humphrey Polepole, wapi ameumizwa na wapi alipo kwa hivi sasa Humphrey Polepole ...
Licha ya kuwa na hicho chombo cha kuwasimamia polisi; polisi hao hao wanachukua 'cue' toka kwa watawala wanao walinda.Kuna kitu cha msingi sana ameongea Augustino Polepole.
Kimsingi tatizo ni kwamba Tanzania hakuna chombo cha kuwasimamia Polisi.
Polisi wakifanya makosa, kabla ya kufika mahakamani, kunatakiwa kuwepo na chombo cha kusimamia Polisi wanavyofanya kazi.
Kuna mifano ya nchi nyingi wana vyombo hivi, mfano miwili ni Canada na hata karibu tu hapo Kenya.
Ndiyo maana Watanzania wanaweza kuwashangaa Polisi wa Kenya kwa nini wanakuwa na adabu sana mbele ya waandamanaji, kwa namna ambayo Polisi wa Tanzania hawana adabu hizo.
Kumbe kuna suala la systemic accountability.
Yule mama pole pole angekua mwengine saizi wanampepea huku ! khanga tumboniNaona watamwachia wenyewe kwa aibu maana tangu akamatwe hata famili haina waswasibsaana wanafuatilia tuu ile chipu inaonyesha kilakitu na alipo
Mimi nitakuunga mkono kwenye kipande hiki cha maoni yako; hayo mengine ya "Waislam (wote?)", siyajui.niliwaambia kuwa SAMIA ANAMCHUKIA NYERERE NA KARUME KULIKO JPM .....Hii dhana imebeba siri ya yote yanayo endelea sasa ....kwa hii siri utajua samia ni nani na walio nyuma yake ni kina nani?
Na nadhani hawa polisi wanaozidi kutajwa tajwa kwa maovu hivi, na wengine kujionyesha kuwa nadharau kubwa na kukosa ubinaadam kabisa wanapoongelea maswala haya, watu wataanza kujiuliza kama wao hawana miili inayoweza kuvuja damu!anaewaogopa polisi ni mwendawazimu tu wavaa kaki wanakutishaje sasa?? Lbd aje na mtutu ila physically hawezi atakula ndoige zakutosha
Mimi mpaka ananiudhi. Awake huo ushahidi hadharani kwasababu wanaweza kumshikilia juma asipate fursa ya kusema.Anasubiri nini kumwaga ushahidi wazi tujionee?
Asichelewe hao washenzi kwa sasa wameshajitoa akili anaweza kuvamiwa hata na yeye wapoteze ushahidi , maadam kama anao ushahidi wa kieletroniki kama anavyosema ambao ndio hao wahuni waliukwepa kwa kupiga risasi CCTV autoe mapema atakuwa amewaacha njia panda .
Pia asije akaenda huko polisi pekeyake.
Kuogopa mtu kisa kacheo ni upungufu wa akiliNa nadhani hawa polisi wanaozidi kutajwa tajwa kwa maovu hivi, na wengine kujionyesha kuwa nadharau kubwa na kukosa ubinaadam kabisa wanapoongelea maswala haya, watu wataanza kujiuliza kama wao hawana miili inayoweza kuvuja damu!
Nafikiri ni katika kuonesha, waliompiga risasi Lissu ndiyo hao hao waliomteka Pele pole. Pia kimkakati ni kuunganisha watu wote, kwa kuwa hakuna aliye salama.Angejikita zaidi katika kumuongelea Polepole kuingiza suala la LISSU inacompromise kabisa lengo la msingi....