Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole

Yule mama pole pole angekua mwengine saizi wanampepea huku ! khanga tumboni
Washamwambia asijiumize wanazoom tuu mbona watamtelekeza kama mooπŸ˜†πŸ˜†
 
Tunafeli sana sisi tunatishia wao wanafanya kweli
 
Mimi mpaka ananiudhi. Awake huo ushahidi hadharani kwasababu wanaweza kumshikilia juma asipate fursa ya kusema.
Kabisa hakuna anachotakiwa kubakiza maana polisi wao kama wamekana kumshikilia na wanapiga sarakasi anasubiri nini hapo?

Na hata ukiangalia barua yao ya wito hao policcm wamemtaja kama afisa wa polisi yani wao wenyewe wanaogopa kumtaja jina lake wakati huyo kaka yake Polepole alimtaja kwa jina kabisa.
 
polisi walivyomkamata Humphrey Polepole, wapi ameumizwa na wapi alipo kwa hivi sasa Humphrey Polepole ...
Huyu ni Ndugu wa Polepole kweli? Una taarifa hizo zote...! Unaachaje kuwaambia wananchi walipomficha Humphrey ili Watanzania waende wenyewe kumkomboa?

Simuelewi kabisa!!!
 
Hujaona taarifa ya Shekh mmoja ambaye ndio muwakilishi wa viongozi wa dini anakwambia kuwa viongozi wa dini wanaridhishwa na hali ya kiusalama iliyopo hapa nchini kipindi hiki cha uchaguzi?

Yaan anakwambia wanainchi wanaishi kwa amani bila hofu yoyote kinyume na wengi walivyokuwa wanatarajia, na october wanaenda kutick kwa wingi...!!

Sasa kama kiongozi wao wa dini bila aibu kabisa katamka maneno hayo, ndio tutegemee muislamu wa kawaida ajitokeze adharani kuongea tofauti?

Hao jamaa wako kimya wala hawana muda wa kukemea matukio haya, maana wanaamini haya matukio ya wahanga ni makafiri pekee tu maana ndio wasioitaka serikali ya samia... wasichokijua kuna wakina Ally Kibao humo humo, inaskitisha sana kwakweli
 
Hakuna asiyeamini tena katika hilo ila kuna wenye kuona hao wenye kutekwa na kuuliwa ni kwa sababu wanaichokoza serikali.
 
Kaka bado unahisi na huyu ni maneno matupu? Nilikwambia nahisi Kibatala ana kitu...hawa kuna kitu bro.
 
Yaani mshitakiwa anamuhoji vip
Anayemshitaki,maskini nchi yanguuuuuu
 
Hizo taarifa za wabinua vijambio nimezisikia wala siyo ajabu kwangu ila ni ajabu kwa waislamu na wakristo wakawaida waliokuwa wanadanganywa na hao wapuuzi kuwa wao ndiyo wamefanikisha uhuru wa tanganyika na kupigania haki nchini....namjua muhammad kuliko alivyo jijua mwenyewe na nawajua waislamu kuliko wanavyo jijua na naujua msahafu kuliko msahafu wenyewe 😁
 
Huyu mafwele mbona ni mtu mbaya sana. Kwanini bado analindwa kiasi hichi.
 
Leo nimejifunza neno jipya geni la kiswahi Samasi/ summons
 
Wewe na huyo Lwiva wenu acheni upumbavu wa kuwasema waisalmu wote hali yakuwa tupo waislamu tusiounga mkono ushenzi unaofanywa na Samia na magenge yake ya utekaji na uuaji.

Unamshangaa Alhadi mussa kwani hujui ni chawa wa serikali kabla hata ya Samia kuwa rais.

Huyo shee mpumvavu wa bakwata hata wakati wa Magu alimuumga mkono na hakuwai kumpinga.

Mnapokuja na kuanza kupakazia waislamu wote uongo haipendezi.

Tupo waislamu tena ni wengi sana hatuungi mkono yanayoendelea.

Lwiva.
 
Mashekhe wengi ni illiteracy. Waislamu wanatakiwa kuweka kipengere cha elimu kabla ya kumteua mtu awe kiongozi wao
 
Kaka bado unahisi na huyu ni maneno matupu? Nilikwambia nahisi Kibatala ana kitu...hawa kuna kitu bro.

Sitaki kuhisi. Nataka facts.

Kuhisi hata guluguja anaweza kuhisi.

Mtu kuwa na kitu au kutokuwa na kitu si hoja.

Hiyo ni habari ya conjecture, si fact.

Mimi naongelea facts, sitaki kuongelea conjecture.

Mfano wa facts ni hizi.

1. Habeas Corpus ya Kibatala kufanya kazi Tanzania mpaka sasa ni mpaka athibitishe Polepole yupo mikononi mwa vyombo vya serikali.

Kama umefuatilia kesi leo wakili wa serikali kapita mulemule niliposema.

Fact nyingine.

2. Tanzania haina chombo cha kuisimamia Polisi inapokosea. Kama ilivyo Kenya au Canada. Hii ni fact, haina ubishi.

Hizi ni facts. Hazina ubishi.

Ukitaka habari za "Kibatala kuna kitu anajua" sitaki kuingia kwenye mjadala huo. Kwa sababu huo ni mjadala wa conjecture. Haupo katika fact.

Umeelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…