Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole

Kama mpo mbona amuwapingi kwa nguvu hao mashekh wenu ? Wewe ni mmoja wapo wa wale mliodanganyika na porojo za mashekh kuwawao ni Wazalendo ila kwa sasa mnashangaa mashekh kuwa kinyume na hoja zao soma nilicho andika kuna aina mbili za waislamu wadanganya na wadanganyika wewe upo kwenye kundi la wadanganyika hivyo utajifunza kwa vitendo hadi utakili kuwa hao mashekh wenu ni takataka kama walivyo tajwa ndani ya uislamu kuwa ni uchafu wa mizoga ya baharini (povu la bahari)
 
Mimi ni mkristo, unachokisema ni kweli.

Wapo waislamu wengi sana hapa wanaopinga kinachoendelea. Wanaweza wasiwe "loud mouth" kama Lissu ila hawasapoti kabisa kinachoendelea.

Hii tabia ya kina Lwiva kuweka watu wote kwenye gunia moja siyo sawa.
 
Yani microchip inaonesha mpaka alipoumia.

Jeshi la wananchi Jw wachukue nchi kuwasaidia watanzania. Who are they wanaoteka,poteza na kuua?
 
Angejikita zaidi katika kumuongelea Polepole kuingiza suala la LISSU inacompromise kabisa lengo la msingi....
Yuko sawa tu kwani Lissu si ni kwamba ametajwa tu kama reference kuhusu umahiri wa polisi katika upelelezi. Do you hate Lissu that much kiasi kwamba hautaki hata tukio la kushambuliwa kwake litumike kabisa katika reference popote? Vipi tufute kabisa tukio lake tujifanye kama halikuwahi kutokea and probably it’s gonna appease you somehow?
 
Huyu nae hajajibu chochote
Kaongea ongea upupu tu hata maneno yenyewe ya kutafuta
Kwa ujumla kaongea utumbo, mara sijui Lissu kapigwa risasi....upuuzi mtupu
 
Ningekuwa mimi ningesema yupo sehemu fulani watanzania mfuateni
 
Fungua code mkuu , kwa maelezo tu ya Kaka wa Polepole yanaonyesha police hawakuwa na weredi wa kutosha .

Kimsingi inaonyesha wakati wanakwenda kuvamia Wenda hawakuambata na wataalam wa mifumo ya CCTV au pengine muda haukutosha kumshughulikia nayo , hiyo itawagharimu pakubwa tu ,kwasababu hao jamaa wanaonekana hizo taarifa hawakuzitoa kwa bahati mbaya na pengine wanamengi ya kuyaongea ambayo pengine yanaweza kulivua nguo jeshi la police ambalo Kaka mkubwa hapa amekana kuliita jeshi 🤣mwamba mbabe sana.

Serikali ijitathimini ,ikiwezekana irejeshe mpira kwa kipa ,Ngoma ishakaa vibaya hii
Yani microchip inaonesha mpaka alipoumia.

Jeshi la wananchi Jw wachukue nchi kuwasaidia watanzania. Who are they wanaoteka,poteza na kuua
 
jamaa atulie tu maisha yaendelee, asitafute ugomvi na hao jamaa watakuja kumpoteza na yeye.
 
Kwahio aache ndugu yake wa damu auliwe kisa na yeye anaogopa kufa?. Yaani nimuache mdogo wangu afe kisa mimi naogopa kufa?. Ntakua kaka kweli?.

hana atakachofanya mkuu, jamaa wao ndio wataamua wanachotaka kufanya kama kummaliza au kumuachia. Hao jamaa sio watu wazuri, kama unaelewa huna nguvu za kupambana nao kubali yaishe. maeneo mengi ni pakujitahidi kutumia akili na kujitahidi kupunguza emotion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…