Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole

Watanzania gani wataenda? Sisi wa nyuma ya keyboard?
Huyu hajui hata polepole alipo mikwala mingi ukisoma saikolojia ya huyu kaka wa Polepole ni mtu ambae hajui polepole yuko wapi anatisha tu watekaji
 
Mimi ni mkristo, unachokisema ni kweli.

Wapo waislamu wengi sana hapa wanaopinga kinachoendelea. Wanaweza wasiwe "loud mouth" kama Lissu ila hawasapoti kabisa kinachoendelea.

Hii tabia ya kina Lwiva kuweka watu wote kwenye gunia moja siyo sawa.
Hao waislamu wanaojidai kumpinga samia sasa ni baada ya yale niliyo sema hapa kuwa mpumbavu ujifunza kwa maumivu na uchungu na hasara kubwa ....hiki ndiyo kimewaongeza waislamu wanao mpinga samia ni matokeo ya upumbavu wao na wataongezeka ...ila huu ukweli nilio sema ndivyo ulivyo ....hata wanawake walikuwa wanamuunga mkono.ila baada ya kujifunza kwa uchungu na hasara na maumivu wameanza kupata akili ...tena siyo mimi ninaye wa weka waislamu kwenye gunia moja ni wao huwa wanajiweka kwenye gunia moja ila mambo yakiharibika wanakurupuka na kukanisha kuwa walikuwa kwenye gunia .....waulize hao waislamu wanao jidai sasa kumpiga samia je ni lini walianza kumpinga Samia utapata jibu ?
HOJA ZANGU ZINA LENGO LA KULIPASUA GUNIA MOJA AMBALO WAISLAMU WANAJIWEKAGA WENYEWE ,SIYO MIMI NILIYE WAWEKA.
 
Watu wanashindwa kutofautisha kati ya Waislamu na BAKWATA.
 
This is what a broken country looks like!
 
Ila tumbo la mama Polepole lilizaa wanaume wa shoka kaka nae hapoi ....Mpaka rahaaa sio mikaka shangazi inayosifia ujinga ....huwezi chukua dogo wangu kizembe alafu nikujue simwachii Mungu lazima kieleweke
Wengine tumekuwa tukisema humu kwamba hao polisi wanaishi humu humu uraiani.

Iweje wafanye madhambi yote hayo with impunity?

Ingekuwa ni nchi zingine tayari polisi kadhaa wangekuwa washauliwa.

Watanzania tuna uoga mwingi sana.

Kwa mfano huyo Mafwele or whatever his name is….yaani kabisa wamekosekana wadunguaji wapande hata kwenye mti na kumlia timing siku moja na kumfunua bichwa lake?

Hata kumwekea sumu kwenye chakula au kinywaji nayo imeshindikana?

Mambo sijui ya kumwachia mungu ni ujinga tu.

Mungu hana msaada wowote ule. Mungu angekuwepo na kama angekuwa na msaada basi Polepole asingetekwa. Mdude naye asingetekwa, n.k.

Ifike mahali watu tuwe tayari ku crash out ili kuleta heshima la sivyo they’ll continue to run roughshod over us.
 
wao wapo bize na Gaza
 
Chapter ya Polepole ilikwishafungwa kama ilivyofungwa ya Mdude_Nyagali . Kaka ya Polepole anaongea ngonjera tu, hakuna analojuwa.
 
Kaka mkubwa hapa amekana kuliita jeshi 🤣mwamba mbabe sana.
Yaani katika maneno yote na hali iliyopo, umeamua kuchagua a comedic way kupeleka ujumbe? Taratibu kaka, usituchekeshe tusije sahau mtiti tulionao.
 
Bado unawaweke wote kwenye kundi moja. Kuna machawa, BAKWATA, na wanamtandao.

Bahati mbaya, kwenye makundi haya (mbao siyo wengi), ndiyo wenye kipaza sauti, sasa wewe unafikiri majority ya waislamu wako hivyo. Si kweli.

Kuhusu baadhi ya waislam kumbadilikia Samia, hilo wala siyo sababu ya dini, wapo wakristo wengi waliomchukia Magufuli na alipoingia Samia wakamkubali mara moja.

Na malizia kusema, lugha unayoitumia kujieleza, haina staha, inakwaza wengine.

Biblia inatufundisha tusiwakwaze wengine, kama unafikiri kuwatukana waislam ndiyo kuonyesha ukristo wako, unakosea.

Tanzania ni yetu sote, kwa hali ilivyo sasa, tunatakiwa tuwe wamoja ili tuondoe udhalimu wa wanamtandao, ambo wanatubagaza wakristo na waislam.
 
Sijui kwa nini kila mtu anapotaka kusema kitu lazima aanze na nitasema , kwanini haendi moja kwa moja kwenye point
Nadhani kuna taarifa akizitoa inaweza pelekea kuharibu mpango mzima wa kumuokoa ndugu yake..
Mfano akisema exactly eneo alipo ndugu yake itapelekea watekaji kuhama..
Anachofanya hapa ni kuwatia hofu na wajione hawapo salama..
 


Ndugu yangu hao akina Muhimbu na Lwiva hawatokupenda hata kama ukijitetea vipi. Ni watu wanaouchukia Uislam na Waislam, hizi nyengine ni sababu tu wanajitafutia. Usitafute kuwaridhisha hao, hawatokuwa radhi na wewe muda wa kuwa wewe ni Muislam. Allah Awaongoze katika Uislam.

Wewe fuata Dini yako inafundisha nini.


Ukiachana na madhaifu yake Alhad na madhaifu ya Bakwata. Katika Uislam tuna namna ya kuamiliana na watawala. Sisi hatuigi tu wengine kwa sababu hao wengine hata Muongozo hawana. Sisi tulishapewa Muongozo wa namna ya kuamiliana na watawala, Alhamdulillah kwa Neema ya Uislam na Sunnah. Hatuna haja ya kuiga watu wengine.

Amani haichezewi na inalindwa. Haifai kujitoa katika utiifu kwa mtawala hata kama atakuwa ni dhalimu. Mtawala anatiiwa (katika yasiyo haramu) hata kama atakuwa ni dhalimu. Na tunakuwa na subra juu ya dhulma ya mtawala. Tunaichukia dhulma yake na tunajiweka mbali nayo na hatuiungi mkono ila tunakuwa na subra na hatupaswi kumsema hadharani mtawala na tunatakiwa kumnasihi kwa siri tukipata hiyo fursa, vinginevyo tunapaswa kuwa na subra. Hivi ndivyo tunavyofundishwa.

Hii haimaanishi sisi tunatakiwa kuwa machawa. Hapana tunajiweka mbali na dhulma na maovu ya mtawala. Ila tunapaswa kufuata mafundisho ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) na Usia wake aliotupa kuhusiana na watawala.
 
Mashekhe wengi ni illiteracy
Ulitaka kumaanisha Masheikh wengi ni illiterates au?
Waislamu wanatakiwa kuweka kipengere cha elimu kabla ya kumteua mtu awe kiongozi wao

*kipengele

Sasa mtu anakuwaje Sheikh bila ya Elimu ya Dini? Au Elimu kwako ni Sekula tu?

Katika Uislam kuna vigezo vya kiwango cha Elimu ili mtu awe Sheikh. Ni kweli hatupaswi kupeana majina ya Sheikh kama mtu hajafikia kiwango fulani cha Elimu ya Dini na akawa hana fani fulani za Elimu ya Dini.
 
Mafwele kila leo anatajwa ila jamaa ni hagusiki.

Mwa nionavyo ni kua hicho kikundi kimepewa mamlaka na hakitakiwi kujibu kwa yeyote.
 
The time is now!
Liwezekanalo leo, lisingoje kesho!

Huyu godfrey polepole ana chini ya masaa 24 kutujulisha ukweli kabla hawajamkamata!, kaka yake(polepole) alijisahau sana! alikosea! na yeye anataka kurudia makosa yaleyale!

HAYUKO SALAMA! ATUJULISHE UMMA UKWELI MAPEMA kabla hawajamteka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…